Nitafunguaje kampuni nikiwa sina mtaji?

Nitafunguaje kampuni nikiwa sina mtaji?

Mbali na mambo mengine kama Business Plan, kuhus swala la mtaji tu mbona rahisi:
1.Andaa idea zako za kueleweka
2.Tafuta watu kadhaa ambao ndo watakuwa mtaji kwako sasa kivipi;
-Njoo mahali kama Jf hapa ambapo unaweza ukawa na mazoea na watu, kama ukiwa member maarufu ni rahis zaid kupata watao kuunga mkono haraka
-Wape watu idea zako kitaalamu( ukiweka mahesab ya mchanganuo utawaloga zaid)
- weka pia mifano kadhaa ya watu either unaowajua au namna yoyote ile waliofanikiwa Sana kupitia uwekezaji kama huo mnaopanga kuufanya
-Kulingana na mchanganuo wako utawapa bajet sas wale unaoona wamevutwa zaid na idea yako na ili kweka attention zaid weka deadline na max number ya watu unao wahitaji...
3.Hakikisha unakuwa mbele kwa karibu kila kitu, mfn; kama mmepanga kufanya survey, we tangulia kwanza mwenyew alf ndo baadae mkija wote unakuwa kama unawapa maelekezo hivi, ni rahisi kuaminiwa zaid.
NB:Kumbuka hutakuwa na hela ya kuchangia, kwahy kama unahitaji ml5 tafuta labd watu kumi uwaambie mnajichanga 500k kila mmoja sidhan kama kuna ataekuuliza mchango wako wewe kama utazingatia kigezo no 3[emoji115] maana kukiwa na mtu ataekuzid uelewa kwenye hilo swala ni rahis kupindua nafasi yako na ni rahis zaid kuwaza kukuuliza wewe mchango wako
Chukua mfano mzuri kwa wale waliokuja na ushawishi kuhusu FOREX
 
Tatizo siyo mtaji tu kuna TRA ya jiwe pia![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Just contact the registrar of companies office to know their policy as to whether you can start a company without "capital owned".
I think is impossible.
Note: I just red business on books(at school)
It is possible mkuu,unaweza kufungua kampuni ukiwa huna kitu
 
Kasome ilivyoanzishwa kampuni ya viatu vya NIKE, ukishasoma hutatoka bure.

Kuanzisha kampuni bila mtaji kwenye ulimwengu wa tatu ni jambo kubwa ambalo linahitaji akili kubwa pia.

Inawezekana.
 
Mkuu kusajili kampuni ya mtaji huo ni kama 170000 kwa brela, hapo tra bado

Lakini huwezi ukapata mtaji bila ya kuwa na project/ business plan mzee

Unaweza hisi ni kitu kigumi kupata mtaji lakini ikawa rahisi kama una plan watu watakuelewa tu
 
Endelea kudanganywa na wakina Chris Mauki na shigongo kuhusu ujasiriamali bila mtaji
 
Back
Top Bottom