G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Wale ni wakufikia magereza wabadilishane na kina babu seya, aibu tupu
Kweli mkuu, kambi yote imegharimu mamilion...hata wapandishwe kwenye punda poa, kwani wanawahi kurudi kufanya nini huku?hiyo hela ya kuitunza taifa stars bora tupewe vijana tubet tu
Machezaji yenyewe yale yale miaka yote wakina Yondani si bora wangepeleka ile timu iliyoenda southy..Unawaombea Lori lanini
Waje kwamiguu Washenzi kabisa
Wanatutia hasara na Kututolea Furaha ya Miaka 56ya uhuru wapuuzi kabisa
Silioni mkuu nipe mwongozo..Peleka jukwaa la michezo bhana..
Kweliiiii kabisaaaSi Utani wameniboa ile mbaya kama mtanzania mzalendo. kiwango chao walichonacho ni tofauti na wachezaji wote wanaoshiriki hii michezo, Kwa kuwa wamefanya maksudi kutuaibisha, heshima yao ni kuwarudisha kwa usafiri wa lori na siyo ndege. Itapendeza zaidi
Daah rais wetu mpendwa .....onyesha ujemedari wako kwa hawa wachezaji......wafungwe kama mafisadiWale ni wakufikia magereza wabadilishane na kina babu seya, aibu tupu
Sio kwakuchefukwa hukuUnawaombea Lori lanini
Waje kwamiguu Washenzi kabisa
Wanatutia hasara na Kututolea Furaha ya Miaka 56ya uhuru wapuuzi kabisa