Nitafurahi Kilimanjaro Stars wakipandishwa kwenye lori kurudi nyumbani baada ya mechi ya mwisho, wametuaibisha mno!

Nitafurahi Kilimanjaro Stars wakipandishwa kwenye lori kurudi nyumbani baada ya mechi ya mwisho, wametuaibisha mno!

Nimesoma maoni Mengi na kilichokigundua kwa watu wengi Ni kwamba wana hasira. Mbona maswali haya watu hawayaulizi?
1. Je ilikuwa busara kubadili kocha kipindi hiki?
2. Je kocha Ninje amekuwa akiongea nini mbele ya wachezaji kuhusu kocha Mayanga?
3. Je kocha Ninje amekuwa akijieleza vipi mbele ya wachezaji? (Mfano ; mimi Ni kocha ya level ya juu sana)
4. Je wachezaji walioteuliwa awali na mayanga wanamkubali kocha Ninje?
5, Je kilichotokea huko Kenya Ni udhaifu wa kocha au wachezaji au wachezaji wamemsusia kocha kwa style Fulani? Ahsante
Kila kocha ana mbinu zake.w huwezi kumlaumu kocha wakati machezaji yetu yalishaletewa hadi akina maximo wakafeli...ttzo wachezaji wetu hawana uzalendo..
 
kili.jpg
 
Kwani Zanzibar ndio mara ya kwanza kuifunga taifa stars. Kama unakumbuka kipindi cha maximo pia ilikiwa sawa na juzi tu. Mpira wetu sie upo kwenye magazeti tu. Nenda kaangalie wazenji wanavyoandaa watoto kuja kucheza mpira. Kuna ligi za watoto zinasimamiwa na ZFA kuanzia watoto wa miaka 12 wanacheza juvenile league, junior league na central league.
Hivi ndio viwanda vyao kila siku utaona vipaji vipya ndio mazao ayo ya kina agry, kanavaro, sabri china, baby wapo wengi tu. Huku sie kelele magazetini tu. Kwa kumalizia ndio maana wazenji wanadai nchi yao kwa sababu ya kuwanyanyasa na kuwadharau tu. Na iko siku hawa jamaa tutawatafuta ngoja wapate nchi yao utakuja kukumbuka haya maandishi.
Zanzibar laiti kungekuwa na udhamin kama wa TFA au hata pengine wangekuwa wanapata lile fungu LA Fifa bas wangekuwa mbali mno
 
Naona umeshindwa kuficha "uTaifa" wako, badala ya kukubali ulichemka unafuatilia "typo"

Kila la Kheri
Nimekubali kwa marekebisho yake na nikashukuru na nikamrekebisha na yeye kuna sehemu slikosea ku type, kuna ubaya gni hapo sasa? Au unatafuta kick ya kubishana?
 
...leo ndo nadhani watarudi hebu tuone watarudije hawa watu, na nani atawapokea..
 
Wapandishwe lori? kwa mazuri gani waliofanyia nchi hii? hapo kenya tu? Watroti tu
 
Back
Top Bottom