Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Unawaombea Lori lanini
Waje kwamiguu Washenzi kabisa
Wanatutia hasara na Kututolea Furaha ya Miaka 56ya uhuru wapuuzi kabisa
Mkuu hawa watu tuna hasira nao kweliSio kwakuchefukwa huku
Sijakuelewa mkuu..Nadhani ulimanisha Kilimanjaro/Tanganyika/Bara Stars
Kweli mkuu hpa inabidi tuache hizi presha za kushangilia mitimu mibovu mibovuWenzako tumeshaacha kushabikia hicho kichaka cha wahuni tangu mwaka 2012 ,
Endeleeni kujitafutia madonda ya tumbo kwa team za kilofa
Wanawez pombe n kubadili warembo tuu,magot yamejaa maji,pumzi chalii,bora waanze kutagut vijan wengine kabisa ambao wataund timuMkuu hawa watu tuna hasira nao kweli
Si Utani wameniboa ile mbaya kama mtanzania mzalendo. Kiwango chao walichonacho ni tofauti na wachezaji wote wanaoshiriki hii michezo, Kwa kuwa wamefanya maksudi kutuaibisha, heshima yao ni kuwarudisha kwa usafiri wa lori na siyo ndege. Itapendeza zaidi
Naomba mwenye cv ya Kocha kabla sijamtukana mtu [emoji23]
Tukana tuu mkuu usisale na kiholoNaomba mwenye cv ya Kocha kabla sijamtukana mtu [emoji23]
Sijui niwatege sehemu gani wakiwa wanarudi, nna AK47 mpya kabisa sijaitumiaHuna haja ya kumtukana mtu, wewe mteke tu kocha na kamtupe porini.
Sijui niwatege sehemu gani wakiwa wanarudi, nna AK47 mpya kabisa sijaitumia