Nitafurahi Kilimanjaro Stars wakipandishwa kwenye lori kurudi nyumbani baada ya mechi ya mwisho, wametuaibisha mno!

Nitafurahi Kilimanjaro Stars wakipandishwa kwenye lori kurudi nyumbani baada ya mechi ya mwisho, wametuaibisha mno!

Yani mie kilio changu kwa makocha,maana makocha vilabu vyao wote walishusha daraja sasa cijui tulikuwa tunategemea nini,,
 
Hii team Sijui kwa nini haivunjwi ni bora tusiwe na team ya taifa kuliko Kua na litimu la kipuuzi Kama hili...... hawa wachezaji walitakiwa wapelekwe kule unakojengwa ukuta wa kuzuia madini yasiibiwe... Kocha abebe matofali 500 wachezaji kila mmoja tofali buku... Washenzi kabisa yan tumefungwa mpk na Zanzibar kweli!?!????
 
Wenzako tumeshaacha kushabikia hicho kichaka cha wahuni tangu mwaka 2012 ,

Endeleeni kujitafutia madonda ya tumbo kwa team za kilofa
Kweli mkuu hpa inabidi tuache hizi presha za kushangilia mitimu mibovu mibovu
 
Si Utani wameniboa ile mbaya kama mtanzania mzalendo. Kiwango chao walichonacho ni tofauti na wachezaji wote wanaoshiriki hii michezo, Kwa kuwa wamefanya maksudi kutuaibisha, heshima yao ni kuwarudisha kwa usafiri wa lori na siyo ndege. Itapendeza zaidi


Hawa dawa yao ni kuwapandikiza kwenye boti bovu wakazame....Tanzania tuna wachezaji wazuri sana ila nashangaa kila mashindano tunachagua mazezeta kutuwakilisha, why?
 
Sijui niwatege sehemu gani wakiwa wanarudi, nna AK47 mpya kabisa sijaitumia


wasubiri wakishapanda mashua/boti lao litungue ili watumbukie baharini.....tumewachoka. Yaani hawa kuwapandisha lori ni kama vile kuwapendelea tu, wanahitaji boti lililo oza kabisa si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom