G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
- Thread starter
-
- #61
Taiga=Taifa ni kweli mkuu, nashukuru kwa hilo, nimekuelewa.Kwenye heading umeandika Taiga stars halafu humo ndani umeiongelea Kilimanjaro stars
Au hakuna tofauti mkuu??(nadhani utanielewa sasa)
Zingatia: Taifa Stars=Kilimanjaro Stars +Zbar Heroes
Hamna kitu mle zaidi ya kupambana magazetini tu. Zanzibar waliliona hilo wakawaacha wanaojiona masta kibao kama agrey moris, canvaro nk. Saivi mechi 2 point 6 na kandanda la kuvutia kwa vijana wasio hata na majini ukizingatia walisafiri kwa basi.
Kwani Zanzibar ndio mara ya kwanza kuifunga taifa stars. Kama unakumbuka kipindi cha maximo pia ilikiwa sawa na juzi tu. Mpira wetu sie upo kwenye magazeti tu. Nenda kaangalie wazenji wanavyoandaa watoto kuja kucheza mpira. Kuna ligi za watoto zinasimamiwa na ZFA kuanzia watoto wa miaka 12 wanacheza juvenile league, junior league na central league.Hii team Sijui kwa nini haivunjwi ni bora tusiwe na team ya taifa kuliko Kua na litimu la kipuuzi Kama hili...... hawa wachezaji walitakiwa wapelekwe kule unakojengwa ukuta wa kuzuia madini yasiibiwe... Kocha abebe matofali 500 wachezaji kila mmoja tofali buku... Washenzi kabisa yan tumefungwa mpk na Zanzibar kweli!?!????
Usijali serikali imemuagiza jecha afute yale matokeo.kilichoniuma zaidi nikufungwa na wala urojo
Hilo la nchi halituhusu, sisi tunaongelea timu yetu kutuaibishaKwani Zanzibar ndio mara ya kwanza kuifunga taifa stars. Kama unakumbuka kipindi cha maximo pia ilikiwa sawa na juzi tu. Mpira wetu sie upo kwenye magazeti tu. Nenda kaangalie wazenji wanavyoandaa watoto kuja kucheza mpira. Kuna ligi za watoto zinasimamiwa na ZFA kuanzia watoto wa miaka 12 wanacheza juvenile league, junior league na central league.
Hivi ndio viwanda vyao kila siku utaona vipaji vipya ndio mazao ayo ya kina agry, kanavaro, sabri china, baby wapo wengi tu. Huku sie kelele magazetini tu. Kwa kumalizia ndio maana wazenji wanadai nchi yao kwa sababu ya kuwanyanyasa na kuwadharau tu. Na iko siku hawa jamaa tutawatafuta ngoja wapate nchi yao utakuja kukumbuka haya maandishi.
[emoji13] [emoji13]Kwa lori tumejitahidi sana na ni upendeleo mkubwa sana kwao. Hawa ni wa kupanda fisi wanatoweka hawaonekani wakifika mapangoni walau kwa siku tatu, nne. Nini maana kusherehekea uhuru
[emoji16][emoji16][emoji16]Huyo kocha sijui wamemtoa wapi ana wowowo kinoma
Ligi kuu za Africa mashariki zimesimama kupisha michuano hii ulitaka maandalizi gani labda?Ni aibu sana. Lakini je palikuwa na maandalizi ya kina? Au ndio ilkkuwa kuchaguana na kwenda?
Hawa walitakiwa waswekwe korokoroni angalau kwa mwezi mmoja wakitoka watakuwa wazalendo. Watu zaidi 50 mill wanawategemea wao wanaishia kukata viuno uwanjaniSi Utani wameniboa ile mbaya kama mtanzania mzalendo. Kiwango chao walichonacho ni tofauti na wachezaji wote wanaoshiriki hii michezo, Kwa kuwa wamefanya maksudi kutuaibisha, heshima yao ni kuwarudisha kwa usafiri wa lori na siyo ndege. Itapendeza zaidi
Kweli mkuuMichezaji ya mikia FC
Huyo bwege hana cha kujitetea nikimkamata nakula ndogo,akitaka amani basi anipe cv yake hata kidogo tu,halafu mkuu unazidi kuamsha hasira zetu ujue.Nimesoma maoni Mengi na kilichokigundua kwa watu wengi Ni kwamba wana hasira. Mbona maswali haya watu hawayaulizi?
1. Je ilikuwa busara kubadili kocha kipindi hiki?
2. Je kocha Ninje amekuwa akiongea nini mbele ya wachezaji kuhusu kocha Mayanga?
3. Je kocha Ninje amekuwa akijieleza vipi mbele ya wachezaji? (Mfano ; mimi Ni kocha ya level ya juu sana)
4. Je wachezaji walioteuliwa awali na mayanga wanamkubali kocha Ninje?
5, Je kilichotokea huko Kenya Ni udhaifu wa kocha au wachezaji au wachezaji wamemsusia kocha kwa style Fulani? Ahsante
Wabadilishane?Nafasi aliyoachia Babu Seya waende Kilimanjaro Stars