NITAFURAHI SANA NIKIPATA DEMU WA "kizaramo".

NITAFURAHI SANA NIKIPATA DEMU WA "kizaramo".

Karibu saaana... Nipo hapa Binti la Kizaramo..

Sipati picha unavyonuna wakati umenyimwa ruhusa na mumeo kwenda ngomani kiparang'anda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mpaka wa Msanga, Masaki, Maneromango, Kisarawe, Kisiju, Kimanzichana, Gezaulole, Chang'ombe, Chanika, Kongowe, Mkuranga, Mtazameni, Kisiju n.k.............Nikimaliza Wazaramo nakuja kwa Wadengereko (wako mods pia)
Name calling, utakula Ban sasa hivi! muone kwanza!
 
Nipo humu JF kila siku, lakini hii Ban sielewi ni kitu gani hiki?
Usipo heshimu JF rules and regulations (zinazo patikana hapa) Moderators wanaweza kuamua kukupa BAN ambayo ni restriction ya kuingia JF as a member kwa muda fulani, au hata BAN ya moja kwa moja (permanent BAN). in short it is a sanction for people who don't behave.
 
Mpige ya mfano si unajua wengine akina Tomaso
 
Sipati picha unavyonuna wakati umenyimwa ruhusa na mumeo kwenda ngomani kiparang'anda

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mume gani tena wakati ndio najilengesha kwa Mr. Leo ..! Akinioa najua lazma atakuwa ananipa ruhusa..
Mwanamke wa Kizaramo ngoma lazima babu weweee!
 
Naja naja,
nashukuru sana!

Nakushauri utenge tayari tayari fungu la michango ya nauli kwenda ngomani.. Zawadi za ngomani kama Begi la mtoto wa shoga wa dada'ake mkeo. Anayechezwa.. Akitoka kuna kanga vitenge.. Akijifungua kuna beseni la mtoto.. Na zawadi za vitenge dinnerset za hongera ya bibi kupata mjukuu.. Utajuta!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
utaweza lakini? ngoma zao zikianza unawezavumilia? unakiwa uwe unaishi mbali na majirani pia.vinginevyo kesi kila siku.
 
Mimi ni mzaramo lakini sijachezwa
unaweza kunifikiria?
 
Back
Top Bottom