Nitafutieni waziri yeyote kwenye serikali ya Marekani ambaye jina linaanza na Profesa

Nitafutieni waziri yeyote kwenye serikali ya Marekani ambaye jina linaanza na Profesa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Nitafutieni kiongozi yeyote wa Serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor fulani kama utapata!

Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa Professor tena!

Professor kabudi na Tibaijuka wasingetakiwa kuitwa Professor kwenye majina yao kwasababu sio walimu ndiyo maana wenzetu huwezi kumuona Waziri anaitwa Professor xxxxx
 
Nitafutieni kiongozi yeyote wa serikali ya marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor…. fulani kama utatapa! Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa professor tena!
Professor Marekani ni title ndogo sana.

Ni sawa na mwalimu tu. Ukifundisha chuo kikuu Marekani tayari ni professor.

Marekani hata Dr. Ina heshima kubwa kuliko Professor.

Nilikuwa na professor mmoja wa historia (elective ya first year) chuoni, tulikuwa hatujui kwamba hana Ph.D, tukawa tunamuita Dr.

Akasema msiniite Dr, sijapata Ph.D yangu naisomea bado, niiteni Professor tu.
 
Hata ukifundisha community college utaitwa professor.

Watanzania bado wana ulimbukeni sana na hizi titles.

Wengine wanasema eti Obama Juris Doctor lakini hajiiti Dr.

Hawajui kuwa hiyo Juris Doctor haina hadhi sawa na PhD, kwa Marekani.
 
Nitafutieni kiongozi yeyote wa serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor…. fulani kama utapata!

Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa professor tena!
Waziri wa Afya RF Kennedy ana elimu gani ndugu???
 
Point ni Jamaa ni msomi, wa degree 3 ambapo soon anakuwa prof.
Nilitaka kusema hata US wasomi level za dr+prof huzingatiwa
Kennedy anakuwa professor lini? Manake umesema soon anakuwa professor…..

Kuwa professor huhitaji kuwa na degree tatu.
 
Waziri wa Afya RF Kennedy ana elimu gani ndugu???

Sio swala la elimu hapa ni jina tafuta mtu yeyote anaye anza na jina Professor sio swala la elimu elimu wanayo lakini hutakiwi kutumia jina professor kama sio mwalimu kwa wakati huo

Mtu sio mwalimu tena mfano Professor Tibaijuka au Professor Kabudi wangetakiwa kuitwa Dr sio professor .
 
Nitafutieni kiongozi yeyote wa serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor…. fulani kama utapata!

Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa professor tena!
Majizi ya ccm ili kutisha watu mara Dr mara prof, ujinga TU! Nchi zote ukiacha Afrika na sana sana tz hakuna huo upuuzi! Jinga kabisa! Dr Musukuma, Drs la 7 na wengine wapuuzi TU! Dr Seleman Ja? Aisee!!!
 
Yote haya yanasababishwa na inferiority complex ndugu... hii kitu inawatesa watanzania sana. Kuanzia watawala kule juu juu mpaka huku chini ground kwa kina sisi.
 
Back
Top Bottom