Professor Marekani ni title ndogo sana.Nitafutieni kiongozi yeyote wa serikali ya marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor…. fulani kama utatapa! Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa professor tena!
Hata ukifundisha community college utaitwa professor.Professor Marekani ni title ndogo sana.
Ni sawa na mwalimu tu. Ukifundisha chuo kikuu Marekani tayari ni professor.
Marekani hata Dr. Ina heshima kubwa kuliko Professor.
Nilikuwa na professor mmoja wa historia (elective ya first year) chuoni, tulikuwa hatujui kwamba hana Ph.D, tukawa tunamuita Dr.
Akasema msiniite Dr, sijapata Ph.D yangu naisomea bado, niiteni Professor tu.
Waziri wa Afya RF Kennedy ana elimu gani ndugu???Nitafutieni kiongozi yeyote wa serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor…. fulani kama utapata!
Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa professor tena!
Ana Juris Doctor. Ni mwanasheria.Waziri wa Afya RF Kennedy ana elimu gani ndugu???
Point ni Jamaa ni msomi, wa degree 3 ambapo soon anakuwa prof.Ana Juris Doctor. Ni mwanasheria.
Kennedy anakuwa professor lini? Manake umesema soon anakuwa professor…..Point ni Jamaa ni msomi, wa degree 3 ambapo soon anakuwa prof.
Nilitaka kusema hata US wasomi level za dr+prof huzingatiwa
Hawa watu ni vitu gani tangible wamefanya wjuvi mtuulezeProf. Makame
Prof. Tibaijuka
Prof. Kabudi
Prof. Ndalichako
Prof. Muhongo
Et al
Waziri wa Afya RF Kennedy ana elimu gani ndugu???
Majizi ya ccm ili kutisha watu mara Dr mara prof, ujinga TU! Nchi zote ukiacha Afrika na sana sana tz hakuna huo upuuzi! Jinga kabisa! Dr Musukuma, Drs la 7 na wengine wapuuzi TU! Dr Seleman Ja? Aisee!!!Nitafutieni kiongozi yeyote wa serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor…. fulani kama utapata!
Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa professor tena!
Kama uyo Sospeter Muhongo Ni Worst minister wa Wizara ya Nishati Kupata Kutokea,Hawa watu ni vitu gani tangible wamefanya wjuvi mtuuleze
Wapuuzi TU Hawa!Hawa watu ni vitu gani tangible wamefanya wjuvi mtuuleze
zaidi ya kuandika vitabu sijaona cha maana.Hawa watu ni vitu gani tangible wamefanya wjuvi mtuuleze