Elections 2015 Nitagombea Ubunge Kyerwa 2015 kwa tiketi ya CHADEMA

WanaJamvi

Ninatangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia CHADEMA 2015 katika Jimbo la Kyerwa-Kagera. Uwezo wa kuwa mbunge ninao na nia ninayo. Mbunge wetu wa sasa Mhe. Yustace Katagira, amekuwa mbunge tokea 1995 kwa tiketi ya CCM, japo 2000-2005 alipumzishwa na TLP, na akarejea tena 2005-2010 na 2010-2015. CCM kwetu haitusaidii hata kamwe. Mbunge wetu wetu ni mzee (70+), ni mfanya biashara wa kahawa(zao kuu la biashara jimboni kwake-imagine), na huwa haendi Bungeni(mtoro namba moja). Kyerwa nzima yenye wakazi takribani 400,000 haina shule hata moja ya A-level, haina hata Mita moja ya rami, maji ndo usiseme, haina hospitali, haina chuo chochote, hakuna hata nyumba moja yenye umeme, barabara ni tabu kuliko maelezo...ni shida tu. Ni Mzee ambae amekaa kimaslahi zaidi kuliko kuwatumikia wananchi.

Hivyo, wapendwa wanaJamvi nimeamua kwa dhati nijitose kupambana na Mzee huyu kigogo wa CCM ili CHADEMA ipeperushe bendera yake Kyerwa. Naombeni sala na dua zenu juu ya nia yangu ya kuwakomboa wananchi wetu.

Ninahitimisha
:israel:

Unachelewa aisee. Fanya hima uende
 
unaitwa nani na cv yako tuombee tutaje jina la id fake we mwoga unaongelea gizani mwaga jina na cv tanzania ya leo watu kama kibajaji hatuwataki
 
Mimi nimeweka jina langu halisi, nina uhakika wengi wasioweka majina yao halisi bila sababu za msingi hawajiamini. Pia nafikiri ili aweze kusaidiwa ni vizuri akaweka jina lake halisi. Jina alilotumia litafanya wengine waone kuwa anafanya mzaha.
bainisha mipango uliyonayo na siyo kutangaza kugombea bila kubainisha utakavyowasaidia wananchi
 
WanaJamvi

Ninatangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia CHADEMA 2015 katika Jimbo la Kyerwa-Kagera. Uwezo wa kuwa mbunge ninao na nia ninayo. Mbunge wetu wa sasa Mhe. Yustace Katagira, amekuwa mbunge tokea 1995 kwa tiketi ya CCM, japo 2000-2005 alipumzishwa na TLP, na akarejea tena 2005-2010 na 2010-2015. CCM kwetu haitusaidii hata kamwe. Mbunge wetu wetu ni mzee (70+), ni mfanya biashara wa kahawa(zao kuu la biashara jimboni kwake-imagine), na huwa haendi Bungeni(mtoro namba moja). Kyerwa nzima yenye wakazi takribani 400,000 haina shule hata moja ya A-level, haina hata Mita moja ya rami, maji ndo usiseme, haina hospitali, haina chuo chochote, hakuna hata nyumba moja yenye umeme, barabara ni tabu kuliko maelezo...ni shida tu. Ni Mzee ambae amekaa kimaslahi zaidi kuliko kuwatumikia wananchi.

Hivyo, wapendwa wanaJamvi nimeamua kwa dhati nijitose kupambana na Mzee huyu kigogo wa CCM ili CHADEMA ipeperushe bendera yake Kyerwa. Naombeni sala na dua zenu juu ya nia yangu ya kuwakomboa wananchi wetu.

Ninahitimisha
:israel:

Ujiandae kweli kweli. Rushwa ilivyo kwa sasa, kuwatoa mabepari kama kina Katagira inahitaji jitihada kubwa sana. Kaza buti.
 
Huna njia nyingine za kuwasaidia wananchi wa eneo lako na chama chako zaidi ya kugombania Ubunge?
 
Unakijenga chama kwa sasa?kwani mmeambiwa asiyekijenga chama hawezi kupitishwa kugombea ubunge.
KIJENGE CHAMA KWANZA.
 
WanaJamvi

Ninatangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia CHADEMA 2015 katika Jimbo la Kyerwa-Kagera. Uwezo wa kuwa mbunge ninao na nia ninayo. Mbunge wetu wa sasa Mhe. Yustace Katagira, amekuwa mbunge tokea 1995 kwa tiketi ya CCM, japo 2000-2005 alipumzishwa na TLP, na akarejea tena 2005-2010 na 2010-2015. CCM kwetu haitusaidii hata kamwe. Mbunge wetu wetu ni mzee (70+), ni mfanya biashara wa kahawa(zao kuu la biashara jimboni kwake-imagine), na huwa haendi Bungeni(mtoro namba moja). Kyerwa nzima yenye wakazi takribani 400,000 haina shule hata moja ya A-level, haina hata Mita moja ya rami, maji ndo usiseme, haina hospitali, haina chuo chochote, hakuna hata nyumba moja yenye umeme, barabara ni tabu kuliko maelezo...ni shida tu. Ni Mzee ambae amekaa kimaslahi zaidi kuliko kuwatumikia wananchi.

Hivyo, wapendwa wanaJamvi nimeamua kwa dhati nijitose kupambana na Mzee huyu kigogo wa CCM ili CHADEMA ipeperushe bendera yake Kyerwa. Naombeni sala na dua zenu juu ya nia yangu ya kuwakomboa wananchi wetu.

Ninahitimisha
:israel:

Wazo zuri sana
lakini
1:kama kwa sasa unaishi nje ya jimbo hilo sahau kabisa kupata ubunge katika hilo jimbo.
2:Kama unasubiri 2014 au 2015 kuanza harakati zako za kuwania jimbo,sahau kabisa kupata hata robo ya kura

kwa nini?
vijana wengi(CCM &Upinzani) kwa sasa wanafikiri wanaweza kugombea ubunge katika majimbo baada ya kumaliza degree mahali,akiishi nje ya jimbo fulani na kuwa member JF.pole sana

byabato
 
Ninakupongeza kwa dhamira yako kama kweli umedhamiria,Niwashauri tena vijana wenzangu na wapenda mabadiliko"KUGOMBEA UDIWANI NI DILI KULIKO HATA UBUNGE"huko ndiko bajeti za halmashauri hutekelezwa na kufanyiwa kazi,huko ndiko unaweza jijenga vizuri san-MWENZENU NAENDA KUGOMBEA UDIWANI WA MAGU MJINI-2015 na nimejipanga vema sana bila kusahau ni kwa tiketi ya Chadema...peooopleeeeez........power hadi kieleweke.nawasilisha.
 
WanaJamvi

Ninatangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia CHADEMA 2015 katika Jimbo la Kyerwa-Kagera. Uwezo wa kuwa mbunge ninao na nia ninayo. Mbunge wetu wa sasa Mhe. Yustace Katagira, amekuwa mbunge tokea 1995 kwa tiketi ya CCM, japo 2000-2005 alipumzishwa na TLP, na akarejea tena 2005-2010 na 2010-2015. CCM kwetu haitusaidii hata kamwe. Mbunge wetu wetu ni mzee (70+), ni mfanya biashara wa kahawa(zao kuu la biashara jimboni kwake-imagine), na huwa haendi Bungeni(mtoro namba moja). Kyerwa nzima yenye wakazi takribani 400,000 haina shule hata moja ya A-level, haina hata Mita moja ya rami, maji ndo usiseme, haina hospitali, haina chuo chochote, hakuna hata nyumba moja yenye umeme, barabara ni tabu kuliko maelezo...ni shida tu. Ni Mzee ambae amekaa kimaslahi zaidi kuliko kuwatumikia wananchi.

Hivyo, wapendwa wanaJamvi nimeamua kwa dhati nijitose kupambana na Mzee huyu kigogo wa CCM ili CHADEMA ipeperushe bendera yake Kyerwa. Naombeni sala na dua zenu juu ya nia yangu ya kuwakomboa wananchi wetu.

Ninahitimisha
:israel:

Hongera kwa uamuzi kama kweli utajitosa. Jitose, go go......wote walianza na wazo kama lako!
Lakini kumbuka Mhe. Katagira(Mb) na Mtandao wake ni MAFIA kama wale Sicilian Mafia.....
 
Njoo na mpango mkakati wa maendeleo ya jimbo,bainisha dira na dhamira sera na vipaumbele ili tukupime.
 
WanaJamvi

Ninatangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia CHADEMA 2015 katika Jimbo la Kyerwa-Kagera. Uwezo wa kuwa mbunge ninao na nia ninayo. Mbunge wetu wa sasa Mhe. Yustace Katagira, amekuwa mbunge tokea 1995 kwa tiketi ya CCM, japo 2000-2005 alipumzishwa na TLP, na akarejea tena 2005-2010 na 2010-2015. CCM kwetu haitusaidii hata kamwe. Mbunge wetu wetu ni mzee (70+), ni mfanya biashara wa kahawa(zao kuu la biashara jimboni kwake-imagine), na huwa haendi Bungeni(mtoro namba moja). Kyerwa nzima yenye wakazi takribani 400,000 haina shule hata moja ya A-level, haina hata Mita moja ya rami, maji ndo usiseme, haina hospitali, haina chuo chochote, hakuna hata nyumba moja yenye umeme, barabara ni tabu kuliko maelezo...ni shida tu. Ni Mzee ambae amekaa kimaslahi zaidi kuliko kuwatumikia wananchi.

Hivyo, wapendwa wanaJamvi nimeamua kwa dhati nijitose kupambana na Mzee huyu kigogo wa CCM ili CHADEMA ipeperushe bendera yake Kyerwa. Naombeni sala na dua zenu juu ya nia yangu ya kuwakomboa wananchi wetu.

Ninahitimisha
:israel:

Hapo kwenye red mkuu tunakuombea hadi uchukue jimbo na uweze kutimiza aliyoshindwa huyo mtu wa ccm
 
Kugombea ubunge sio kazi ngumu bali ugumu ni kupambana, kushinda na kuwatumikia wananchi.

Ninasita sana kukuunga mkono kwenye harakati zako kwa sababu;

1/Hujatuambia Wewe ni nani, upo wapi, unafanya nini, una sifa gani, una malengo gani?

2/Una mchango gani katika kuijenga CHADEMA katika jimbo hilo?

3/Mpaka sasa kisiasa umefikia wapi katika harakati zako katika jimbo hilo?

4/Una kitu gani special mpaka watanzania humu JF tukuunge mkono katika hili?

5/Nini uzoefu wako katika mapambano ya kisiasa ukiwa na CHADEMA?
 
Akichaguliwa au kuteuliwa mwingine na chama umpe sapoti.
 
Ninakupongeza kwa dhamira yako kama kweli umedhamiria,Niwashauri tena vijana wenzangu na wapenda mabadiliko"KUGOMBEA UDIWANI NI DILI KULIKO HATA UBUNGE"huko ndiko bajeti za halmashauri hutekelezwa na kufanyiwa kazi,huko ndiko unaweza jijenga vizuri san-MWENZENU NAENDA KUGOMBEA UDIWANI WA MAGU MJINI-2015 na nimejipanga vema sana bila kusahau ni kwa tiketi ya Chadema...peooopleeeeez........power hadi kieleweke.nawasilisha.
Ulipata?
 
Back
Top Bottom