Nitaijua vipi nyota yangu kwa jina langu na mama?

Shukrani sana ndugu.. Umeelezea kwa njia njema san. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkuu una kichwa kizima sana, sasa kuna sehemu unafika unapiga "spana"

Tuache huko, mwaga somo kidogo kuhusu hiyo sayari "Alama Simsima" au tupia link tukajazie elimu.

Ahsante.
 
Sasa mbona Mimi nina manyota mengi Sana? Herufi ya mwanzo B, nyota ya kuzaliwa samaki, nyota ya jina la mama Simba a.k.a ♌ Leo
 
Sasa mbona Mimi nina manyota mengi Sana? Herufi ya mwanzo B, nyota ya kuzaliwa samaki, nyota ya jina la mama Simba a.k.a ♌ Leo
kama unaijuwa tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi na mwaka fuata hiyo ndio nyota yako. Kama tarehe yako ya kuzaliwa mtafute mtaalam akufanyie hesabu ya jina lako na jina la mama yako kisha agawe kwa 12/12 itakayobakia ndio nyota yako.
 
Amakweli haitokaa itokee wajinga wakaisha....😂😂😂
Huu ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine.
Kwako wewe ni upuuzi kwa watu wengine ni elimu tosha.Kama unaona ni upuuzi usingewezakuweka hata Comment yako tuachie na upuuzi wetu wewe ipotezee mbali hii Thread yetu ya kipuuzi bora usepe na njia yako mkuu.
 
Rahisi sana kuamini unajimu maana unapimika kuliko hizi hadith zako ambazo wewe unajitapa unazijua ambazo ni hadith tu
 
Rahisi sana kuamini unajimu maana unapimika kuliko hizi hadith zako ambazo wewe unajitapa unazijua ambazo ni hadith tu
Sikulazimishi kuamini na wala sikuandika kwa makusudio ya kuaminiwa na jamii ya JF.
 
Basi usiwanange watu wanaoamini unajimu maana hawakulazimishi wewe kuuamini.
Hakuna mahala nilipowananga bali nimekiandika kilicho kweli ninachokijua kilichofichikana kwa watu.

Sasa wewe umeandika nini zaidi ya ulichokifikiri?!
 
Hakuna mahala nilipowananga bali nimekiandika kilicho kweli ninachokijua kilichofichikana kwa watu.

Sasa wewe umeandika nini zaidi ya ulichokifikiri?!
wewe umekuta watu wanatembea na boxa halafu ukaanza kuwapondea badala ya kuwapa nguo kumbe nawewe uko Uchi kabisa.
Kuhusu kujua na kufikiri ni distractions tu..Unaweza jiona unajua kumbe unajua alichofikiri tu jamaa fulani wewe umekisoma unajiona unakijua
 
Herufi nyingi lakini ulichokiandika ni hisiya tu! Hakina umadhubuti wa aina yoyote.
 
je na ikiwa jibu la decimal inakuwaje..?
 
Unatumiaje tarehe mwaka na mwezi uliozaliwa ,utajuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…