GE2025 Nitaipigia kura CCM kama Samia hatokuwa mgombea wa nafasi ya urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nina hisia kama Mzee wa Ruangwa alivyotengua kauli yake ya kugombea baada ya kuitangaza, kuna mtu atashurtishwa kukaa pembeni dakika za mwisho kabisa.

Mambo yamekuwa mengi sana kwa muda mfupi mno.
 
Watu wananchi yao, watu wana CCM , kilichotokea kilikuwa ngekewa tu .
 
Nina hisia kama Mzee wa Ruangwa alivyotengua kauli yake ya kugombea baada ya kuitangaza, kuna mtu atashurtishwa kukaa pembeni dakika za mwisho kabisa.

Mambo yamekuwa mengi sana kwa muda mfupi mno.
Labda Msoga iamue
 
Back
Top Bottom