nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
nguvu ya wanyarwanda my ass,mende nyie,kwendaaaaAnza Kugawa Urithi kwa Wanafamilia wako na Kuaga Ndugu, Jamaa na Marafiki huku ukiwalipa ' Wadeni ' wako wote Mikopo waliyokupa, kwani muda si mrefu utaiona Nguvu ya Wanyarwanda hasa wa Kabila langu la Tutsi. Narudia tena cheza na Watanzania wenzako na acha Kuyaingilia sana ' Masuala ' ya ndani ya nchi ya Rwanda na Serikali yake iliyo chini ya Mwamba na Jemedari Mheshimiwa Rais Paul Kagame.