comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
swali ulimtia au hukumtia?
je ulitumia condom au hukutumia?
nijibu kwanza halafu nikupe njia
Akijibu hili swali bila kupindisha pindisha majibu yake,nami nitampa njia ninayoifahamu!!swali ulimtia au hukumtia?
je ulitumia condom au hukutumia?
nijibu kwanza halafu nikupe njia
huyo mtoto mtarajiwa anaweza laani maisha yake yote kwa kosa la kutoa ushuri tu hapa akinijibu nampa njia[emoji15] kama tuko polisi,
tusubirieAkijibu hili swali bila kupindisha pindisha majibu yake,nami nitampa njia ninayoifahamu!!
huyo mtoto mtarajiwa anaweza laani maisha yake yote kwa kosa la kutoa ushuri tu hapa akinijibu nampa njia
Helo wakuu,
Ninaombeni msaada, kama kuna mbinu mbalimbali za asili za kutambua kuwa mimba ni yako au hata kama kuna vipimo ambavyo vinaweza kuonyesha maabara kwamba hii mimba ni yangu na vipi gharama zake?
helo miss chagga kama kuna msaada unaweza kunisaidia kama naweza kujua kwa namna IPI maana hata nikijibu au nisijibu hayo maswali just mbinu haibadilikiswali ulimtia au hukumtia?
je ulitumia condom au hukutumia?
nijibu kwanza halafu nikupe njia
Daah hio ya kuchukia si mpaka mimba iwe kubwa maana yeye ana only 2 weeksVp uyo mwenye mimba anakuchukia au vp?
Na akikuona vp?
TrueVichunguze vidole vya mikono kama vinafanana na vyako au paji la uso kama unafanana na ukoo wenu,pia Bibi au Mama hasa kama ana umri mkubwa wana utambuzi wao kwa Wajukuu halal na wasio halal.
Haijalishi, mimba kuwa yako kuna dalili nyingi sana, binafsiDaah hio ya kuchukia si mpaka mimba iwe kubwa maana yeye ana only 2 weeks