comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
Helo wakuu,
Ninaombeni msaada, kama kuna mbinu mbalimbali za asili za kutambua kuwa mimba ni yako au hata kama kuna vipimo ambavyo vinaweza kuonyesha maabara kwamba hii mimba ni yangu na vipi gharama zake?