Nitajie actors watano ambao lazima ushawishike kutazama filamu aliyoigiza

Nitajie actors watano ambao lazima ushawishike kutazama filamu aliyoigiza

Mi movie nayokutana nayo kwa wakat huo ndio hio hio..kama nzur naangalia kama mbaya bas..laptop yangu haina kabisaa movie na huwa sifuatilii kabisa hiz habar toka 2010 ndio ililua mwisho na JUMONG ikabak kuwa my favourite motivational series mpaka keshoo..
Jumong mpinzani wake ni IRIS.
 
Watoto wa juzi hamuwezi kuwajuwa hawa 3 The hardway.
 

Attachments

  • FB_IMG_1704515475415.jpg
    FB_IMG_1704515475415.jpg
    20.7 KB · Views: 4
Tom cruise
Jason statham/n?
Jamaa wa kwenye extraction
Aloye igiza kwenye tread stone
Aliye igiza kwenye citadell
Buter
Waleastaa wote waliome kwenye gray man
Charles killian
Extraction 1,2,3 ..Christ Whethymos

Matt Demon
Denzel
 
huyu jamaa ashanifanya nikaongeza siku nyingi za kuishi sana aishi miaka tele
Hao wengine wote walio wataja wanatumia CGI na tech nyingine kukuonesha ni bora lakini adm sandler huyu ni original, wapenzi wa animation tunampata pia kwenye picha za Hotel Transylvania, bwana mkubwa Dracula mzee wa braaah braaah braaah picha sijawahi zichoka zile
 
Back
Top Bottom