Nitajie actors watano ambao lazima ushawishike kutazama filamu aliyoigiza

Jumong mpinzani wake ni IRIS.
 
Watoto wa juzi hamuwezi kuwajuwa hawa 3 The hardway.
 

Attachments

  • FB_IMG_1704515475415.jpg
    20.7 KB · Views: 4
Tom cruise
Jason statham/n?
Jamaa wa kwenye extraction
Aloye igiza kwenye tread stone
Aliye igiza kwenye citadell
Buter
Waleastaa wote waliome kwenye gray man
Charles killian
Extraction 1,2,3 ..Christ Whethymos

Matt Demon
Denzel
 
huyu jamaa ashanifanya nikaongeza siku nyingi za kuishi sana aishi miaka tele
Hao wengine wote walio wataja wanatumia CGI na tech nyingine kukuonesha ni bora lakini adm sandler huyu ni original, wapenzi wa animation tunampata pia kwenye picha za Hotel Transylvania, bwana mkubwa Dracula mzee wa braaah braaah braaah picha sijawahi zichoka zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…