GP Logistics Company
JF-Expert Member
- Feb 12, 2022
- 407
- 548
Kama upo Dar nakupa order yanguHabari wana mzengo!
Nafanya biashara za kuagiza laptops ipad camera na vitu vingine kama hivi, kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu nipe oda nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo.
Ni jambo jema nitakutafuta hivi karibuni nikuagize kifaa flani cha kufanana na hivyoHabari wana mzengo!
Nafanya biashara za kuagiza laptops ipad camera na vitu vingine kama hivi, kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu nipe oda nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo.
TV gani?Kioo cha TV je?
Bei gani?!
Karibu sanaNi jambo jema nitakutafuta hivi karibuni nikuagize kifaa flani cha kufanana na hivyo
Vipya na used inategemea na bajet yakovipyaa au used??
Niko dar leta orderKama upo Dar nakupa order yangu
Na TV kwa ujumla unaleta? Weka Namba yako hasa yenye Whatsapp please.TV gani?
600,000 TshBei gani?!
Hatuchukui pesa ya mtu mkuu mzigo ukifika unakuja na pesa yako unachukua mzigo wako hata usipokuja sawa tutauza kwa mtu mwingine.Sounds nice.
Safi sana, umejibu vizuri, niPM namba yako mkuuHatuchukui pesa ya mtu mkuu mzigo ukifika unakuja na pesa yako unachukua mzigo wako hata usipokuja sawa tutauza kwa mtu mwingine.
Nasubiria majibuTV mpya nchi 32 Hisense au Samsung bei gani?