Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Unauzaje, mtu akitaka kuziona kwanza na labda kukagua? Pesa umapokea yote kwanza au?
Pitia maoni yote,
Kasema chagua bidhaa unayohitaji atakuagizia kwa gharama zake wewe utalipia mzigo wako ukishafika
Hachukui pesa yako kabla ya kuagiza mzigo, utamlipa siku ya makabidhiano na ikitokea mzigo wako umefika huna pesa atamuuzia mtu mwingine

MUWE MNASOMA COMMENT ZOTE
 
Unauzaje, mtu akitaka kuziona kwanza na labda kukagua? Pesa umapokea yote kwanza au?
unaleta order yako naifanyia kazi na kupa bei,pia unaweza kuona picha ya bidhaa yako baada ya kupatikana ukikuali tunalipia,sichukui pesa hatamia hadi mzigo ufike hapa ungalie ujilizishe utoapesa na sio lazima unawe ku cancel order baada ya mzigo wako kufika.
 
Habari wana mzengo!

Nafanya biashara za kuagiza laptops ipad camera na vitu vingine kama hivi, kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu nipe oda nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo.
whaspp 0712 708245
Vitu vingine kama vipi mkuu hebu take time orodhesha vyote
 
Nauza viwanja viwili

viko maeneo mazuri hakuna changamoto ya mabonde wala madimbwi

size 30*25 vyote vinalingana

kimoja mbezi makabe kingine goba mpakani

maji umeme barabara vipo

goba 25mil

mbezi makabe 18mil.

call 0713096076
 
Habari wana mzengo!

Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera na vitu vingine kama hivi, kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe oda nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo.

Whatsapp 0712 708245

Upo na Frame?
 
Hii link iweke juu kwenye uzi mkuu...maana binafsi nilishindwa elewa mtu aingie wapi kuona vitu anavyoweza agiza...
Una agiza kitu ambacho unashida nacho mkuu kama hizo vitu nilitaja hapo juu, site ni kwajili ya ku post orders au kitu gani unashida nacho ili kitafutwe upewe bei kupitia kwenye hiyo site, tukikubaliana bei tunakinunua kwa pesa yetu na kusafirisha kwa garama zetu , mzigo ukifika tunakujulisha kupitia kwenye site pia taarifa zako na record zako zote vitu ulivyo viagiza address namba ya simu tunakuwa navyo pia unaweza ku cancel order bila maelezo .Mtu akiombwa pesa kabla ya kupokea mzigo wake naomba aje hapa na ushahidi asema nani alimumba pesa kabla ya kumpatia mzigo wake.
 
Back
Top Bottom