Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wateja tunawajibuJamaa hajali wala kujibu maswali ya wateja wake
Jibu zuri saana Wateja wanajibiwa..!!wateja tunawajibu
Hapo ni wapi?
Karibu sana mkuuSounds nice.
Hbari mkuu,Vipi majibu yangu kimya?Sante nangoja majibu duh ,huu ndio ujasiriamali mkuu tusaidie tupate picha kila bidhaa na picha yake tuchakalike mzigo ukitua Dar unachukua chako nachukua mzigo na oder mpya njuu kila mtu anasepa zake.
Unaweza post mkuu ndani ya website yetu kwenye Auction, ukipata mteja akilipia tuna delivery sisi sio wewe utapata cha juu chako.Hbari mkuu,Vipi majibu yangu kimya?
asante bro!Unaweza post mkuu ndani ya website yetu kwenye Auction, ukipata mteja akilipia tuna delivery sisi sio wewe utapata cha juu chako.
Nijibu basi hapo ndugu mtaalamu kwenye post #92. Nataka nijue tufanye yetu.Unaweza post mkuu ndani ya website yetu kwenye Auction, ukipata mteja akilipia tuna delivery sisi sio wewe utapata cha juu chako.
Nipe hyo kazi boss within 10days utakuwa umepata mzigo mazingira n Kama ya mtoa mada once you receive you pay it.Mkuu sijaona ukitaja kama una deal na TV pia hivo utanisamee kama hudeal nazo, me nahitaji Hisense 50 inch, kama una deal nazo naomba unisaidie price tujue tunafanyaje, Smart na ambayo sio smart
Mkuu mambo ya kuacha kiasi sehemu hii ni mada mpya naomba ufungue uzi mpya wenye maelezo ya kuacha kiasi sehemu mzigo unachukuliwa Arusha please Guys mtu kianzisha uzi sioni sababu ya mtu kuweka matangazo yake wakati unaweza fungua uzi mpya.Nipe hyo kazi boss within 10days utakuwa umepata mzigo mazingira n Kama ya mtoa mada once you receive you pay it.
Ila nitakuomba uniambie sehemu ulipo Ila iwe makao makuu ya mkoa ndo na wadau ambao utaenda oficin kwake utaacha kias ili niwe na uhakika upo serious nisije leta alafu nikakosa wa kumpatia.
Kama upo tayari karibu boss mie nipo Arusha mzigo natolea Kenya
Shukrani Kwa taarifa Mkuu sema tumepishana kidogo, of course Nilikuwa serious sana ndomana nimeonekana katika thread nyingi kidogo ila bahati mbaya sikupata msaada humuNipe hyo kazi boss within 10days utakuwa umepata mzigo mazingira n Kama ya mtoa mada once you receive you pay it.
Ila nitakuomba uniambie sehemu ulipo Ila iwe makao makuu ya mkoa ndo na wadau ambao utaenda oficin kwake utaacha kias ili niwe na uhakika upo serious nisije leta alafu nikakosa wa kumpatia.
Kama upo tayari karibu boss mie nipo Arusha mzigo natolea Kenya
mkuu ukisoma vizuri comments zangu kuna sehemu niliongelea kuhusu TV siagizi ,jambo la pili company ya Hisense mbona ziko madukani kila mkoa unaweza kutembelea duka lilopo jirani yako ukanunua kwanini uagize bidhaa ambaya inapatika kwa wingi madukani mkuu?Shukrani Kwa taarifa Mkuu sema tumepishana kidogo, of course Nilikuwa serious sana ndomana nimeonekana katika thread nyingi kidogo ila bahati mbaya sikupata msaada humu
sema kupitia hii quote unaweza kusaidia wengine ambao wanahitaji msaada kama livokuwa kwangu maana naamini wapo wengi ispokuwa wanajishtukia tu kuwa wakweli, Mkuu issue ya TV niliunganishwa na mbongo yupo china
ila kwakuwa ni biashara sio mbaya tukajua na wewe unafanya vipi Kazi na bei zako zikoje, mfano mie Nilikuwa nataka Hisense inch 50/55 kutoka Kenya, je kwa huko nitapata kwa shingapi hizo Mali na Hadi inanifkia nakuwa nimepasuka kiasi Gani
Mkuu kwani wewe hizo simu unazosema unataka kuagizia watu Kuna Mkoa wowote Tanzania hawauzi? Camera je? Vipi Laptop? Au walikwambia kwamba wametafuta mikoani mwao wamekosa?mkuu ukisoma vizuri comments zangu kuna sehemu niliongelea kuhusu TV siagizi ,jambo la pili company ya Hisense mbona ziko madukani kila mkoa unaweza kutembelea duka lilopo jirani yako ukanunua kwanini uagize bidhaa ambaya inapatika kwa wingi madukani mkuu?