GP Logistics Company
JF-Expert Member
- Feb 12, 2022
- 407
- 548
- Thread starter
- #101
Mkuu shida ipo uwezi kuweka malengo juu ya malengo ya mtu mwingine chief ,unajua unachokifanya kua sio bali una force mambo au ni kuachie uzi basi nianzishe mpya kama huu umeupenda .Mkuu kwani wewe hizo simu unazosema unataka kuagizia watu Kuna Mkoa wowote Tanzania hawauzi? Camera je? Vipi Laptop? Au walikwambia kwamba wametafuta mikoani mwao wamekosa?
Ulichokilenga wewe kwenye kuwambia wadau kuwa utawaagizia watu bidhaa hizo ndicho nilicholenga mie Mkuu, nadhani jibu lako la kuwa hudeal na Tv lilijitosheleza na sio hayo maswali yako, na mie Nilikuwa namjibu mtu aliekuwa interested na issue yangu ya Tv Mkuu na sio wewe maana ulisema hudeal na Tv sa sijui shida imetoka wapi