Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Mkuu Nitapata Disck Top computer used kwa 150k nataka ya kurusha nyimbo studio, iwe na kioo chake(screen)
Mkuu Nitapata Disck Top computer used kwa 150k nataka ya kurusha nyimbo studio, iwe na kioo chake(screen)
Naomba zipo-post specifications zako, pamoja na bajeti yako utajibiwa fasta moja kwa moja na sellers.
 
Samsung A52 used y Japan. Bei gani mpk mkononi?
 
Habari wana mzengo!

Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe ordar nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo wako.

kuweka order yako onyeza hapa Urgently Items Wanted in Japan

Whatsapp 0712 708245
NAHITAJI PRINTERS MBILI AINA YA EPSON L382,

NIPE BEI YAKE.
 
Iphone 12 pro (GB 128) Original ni sh ngapi ? ukiniagizia maana za hapa bongo naona kama ni feki kila sehemu

Tz hii hii unaweza pata a very nice piece na kwa upande wa Apple devices, ni rahisi sana kujua a genuine vs a fake product
 
IMG_20220304_112746.jpg
 
Back
Top Bottom