Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Nakutumia picha nitume namba yako ya whaspp
1646906945720.png
 
iPhone 13 pro 250 GB iko kwenye promosheni ijulikanayo kama ‘Bid-two-Win’ andika kiasi, comment hapa chini ujichukulie iPhone 13 pro 250 GB.

Auction... Minada ya Leo
 
Wale mliopata mizigo yenu namba mtoe mrejesho, kama kuna malalamiko yoyote au changamoto yoyote wote mnakaribishwa
 
kuna Jukuwaa jipya kwajili ya kuinuana kama unakitu chochote kama nguo, viatu,vifaa vyandani simu, au kitu chochote ambacho pengine ungependa kumsaidia mtu mwenye kuhitaji tunaomba uki post hapo jukwaani wenye kuihitaji atasema kisha atapewa, kutoa ni moyo Mungu akubariki.
 
Nauza viwanja viwili

viko maeneo mazuri hakuna changamoto ya mabonde wala madimbwi

size 30*25 vyote vinalingana

kimoja mbezi makabe kingine goba mpakani

maji umeme barabara vipo

goba 25mil

mbezi makabe 18mil.

call 0713096076
Hiyo 30x25 ni futi au metre?
 
Back
Top Bottom