Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Una agiza kitu ambacho unashida nacho mkuu kama hizo vitu nilitaja hapo juu, site ni kwajili ya ku post orders au kitu gani unashida nacho ili kitafutwe upewe bei kupitia kwenye hiyo site, tukikubaliana bei tunakinunua kwa pesa yetu na kusafirisha kwa garama zetu , mzigo ukifika tunakujulisha kupitia kwenye site pia taarifa zako na record zako zote vitu ulivyo viagiza address namba ya simu tunakuwa navyo pia unaweza ku cancel order bila maelezo .

Hapo nimekupata...

Na je naweza tafuta kitu mwenyewe mtandaoni, nchi nyingine tofauti na Japan halafu nikawapa ninyi link ili mfanye manunuzi na usafirishaji?
 
Nijulishe aina ya ipad unazoweza kuzipata ila iwe inatumia sim kadi na used na bei yake nijulishe
 
Habari wana mzengo!

Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera na vitu vingine kama hivi, kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe oda nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo.

Whatsapp 0712 708245
Mkuu sijaona ukitaja kama una deal na TV pia hivo utanisamee kama hudeal nazo, me nahitaji Hisense 50 inch, kama una deal nazo naomba unisaidie price tujue tunafanyaje, Smart na ambayo sio smart
 
Hii Hisense ni kampuny ya nchigani sijui,kuhusu TV kuna changamoto ya umeme hapa kwetu tunatumia 220v Japan 100v kidogo kuna usumbufu mala chache sana kupata TV inatumia 220/100 v.
 
Habari wana mzengo!

Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera na vitu vingine kama hivi, kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe oda nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo.

Whatsapp 0712 708245
Hivi nikiagiza mzigo wangu kama PS 10 nimeona kuna mtu kaweka order ya pc 10 bei zenu ni nzuri na PS pia za SONY ni ngumu zinatoka sana nazielewa vizuri, kabala ya kupakia mzigo unaweza kunisaidia kuongea na watu waliko Japan wanipigie picha ya PS moja moja, kisha wanitumie kwanjia ya whatspp wakati nangojea mzigo pia nitangaze na kutafuta wateja siku nikipokea mzigo naweka order nyingine.
 
Inawezeka hakikisha mwanzo unapo weka order uweke na ombi lako mapema watakujibu kama inawezekana au hapana ,jambo la pili ningependa kujua kwakua mzigo umeagiza bado ujalipiwa unawezaje kutangaza kuuza kitu ambacho ujakilipia wala kukishika mkoni, sijui imekaaje hii ngoja nitakujibu nipe muda.
 
Sante nangoja majibu duh ,huu ndio ujasiriamali mkuu tusaidie tupate picha kila bidhaa na picha yake tuchakalike mzigo ukitua Dar unachukua chako nachukua mzigo na oder mpya njuu kila mtu anasepa zake.
 
Iphone 12 pro (GB 128) Original ni sh ngapi ? ukiniagizia maana za hapa bongo naona kama ni feki kila sehemu
size ya kati mkuu, iwe mpya kabisa, na iwe original kabisa mkuu (ikiwa from uk, au usa itapendeza zaidi). naomba kujua ni sh ngapi iyo bei nafuu??
 
Back
Top Bottom