Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Kabisa,web sio rafiki,haijapangiliwa vyema..Kimoko,
Nimeingia, sielewi chochote jinsi ya kupata hizo bei.
Kwa kuwa umeanzia hapa nadhani ungenijibu hapa au PM web yenu sio user friend.
Kuna search Engine kama itakujaKabisa,web sio rafiki,haijapangiliwa vyema..
Inatia uvivu....
Nahitaji gaming laptop unaweza nipa link nikaingia moja kwa moja
Mbona ku register ni ngum hivi.Kuna search Engine kama itakuja
nfano+255 712708245 ukikesa mala moja refresh page kisha weka upya namba ya simuMbona ku register ni ngum hivi.
Invalid mobile number!how?
umepata?Kioo cha TV je?
Bila shaka mkuu, nitakucheki kuna sikuAsante karibu
Kuna umuhimu wa kutengeneza app yao.Kimoko,
Nimeingia, sielewi chochote jinsi ya kupata hizo bei.
Kwa kuwa umeanzia hapa nadhani ungenijibu hapa au PM web yenu sio user friend.
Mmekuja na idea nzuri sana ila mmeshindwa kuiboresha web yenu.mkifanikiwa kuiweka sawa hakika mtafika mbali...kwa sasa nimenyoosha mikono imenishinda na wala sirudi huko tenanfano+255 712708245 ukikesa mala moja refresh page kisha weka upya namba ya simu
Mkuu pole sana kwa usumbuvu, nimefatilia kwaukaribusana kujua kama kunatatizo la new users kujisajili kwenye website,ningundua website inafanya kazi vizuri sana,nadhani tatizo lilo upande wako kunakitu umekosea mkuu naomba ujaribu tena.Mmekuja na idea nzuri sana ila mmeshindwa kuiboresha web yenu.mkifanikiwa kuiweka sawa hakika mtafika mbali...kwa sasa nimenyoosha mikono imenishinda na wala sirudi huko tena
iPhone se 2022 mpaka mkononi Bei ganiMkuu pole sana kwa usumbuvu, nimefatilia kwaukaribusana kujua kama kunatatizo la new users kujisaji kwenye website,ningundua website inafanya kazi vizuri sana,nadhani tatizo lilo upande wako kunakitu umekosea mkuu naomba ujaribu tena.View attachment 2157521
Bei sh ngapi? Nipe hiyo mkuu naitakaZiko mbili tu mzigo unakaribia kufika
Mkuu naifanyia kaziNahitaji bei ya:
***Used..
1.Canon Eos R camera body
2. Canon 24 -70 mm is lens
3. Canon 70 - 200mm is ii Lens
4. Sony A7 iii camera body
5. Panasonic GH5 or GH4 camera body
GoodMkuu naifanyia kazi
PoaAsante nimeona nimetuma
Inatengezwa iko mbioni kuzinduliwa mkuu
KimyaKama upo Dar nakupa order yangu