Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Kabisa,web sio rafiki,haijapangiliwa vyema..Kimoko,
Nimeingia, sielewi chochote jinsi ya kupata hizo bei.
Kwa kuwa umeanzia hapa nadhani ungenijibu hapa au PM web yenu sio user friend.
Inatia uvivu....
Nahitaji gaming laptop unaweza nipa link nikaingia moja kwa moja