Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

1647488901272.png

Bidhaa zilizopotea tumezirudisha sokoni
 
Habari za asubuhi,Mzigi wakwanza ulichukua week tatu, mzigo wapili umechuka zaidi ya mwezi kimsingi nimeshachukua pesa ya mzigo kwa wateja wangu naomba up date mzigo utafika lini?.

Jana nilijiunga na free membership chakushangaza siweze kuapata kua access jukwaa la kuinuana naomba masaada kunabaadhi ya vitu pale vinatole bure vinanifaa.
 
Pole sana mkuu naomba uni pm namba ya mzigo nikuangalizie status ya mzgio wako,free membership ni free bila malipo.
 
Back
Top Bottom