Xi jiping
JF-Expert Member
- May 7, 2021
- 628
- 920
- Thread starter
- #21
kwaiyo hizi ndo zina chanel za bureView attachment 3062539
View attachment 3062540
Maduka yote yanayouza vingamuzi hivyo wana hizo antena. Nunua antenna zenye shepu hiyo. Zinadaka signal za HD vizuri bila scratches. Na ving'amuzi vya antenna vimeboreshwa upande wa signal nowdays havisumbui kama zamani
Azam na startimes antenna.