ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kwa mimi binafsi
Kwa March kuna
1.Stan bakora na mwenzake aisee content zao ziko so unique ni fupi haziboi halafu hazivunji sana maadili, no wonder why makonda amewahi kumsifia stan yuko vizuri kwa sasa kwenye upande huo..mwingine kwa comedy ni Azaboi mkali sana
2.rich msafi east africa presenter ,,japo jana post ya Zaidi imeonekana kama kumu attack dogo kwa,ba watangazaji wanahoji wasanii maswali ya kiwaki msanii kaenda kutambulisha ngoma unafika anaanza kuhojiwa ngoja ya happy na finale ipi kali topic inadumu dakika 10...dogo naona kama anaonewa sana wivu na watu anafanya poa tu wanaomchukia me sijui kwanini ana maujanja fulani nadhani tuzo ile kastahili
3.taivina ,,naweza kumpa nafasi ya 3 huyu dogo yuko vzr nadhani wawekezaji wenzangu itakuwa mnamjua vzr dogo ametulia sana na yuko smart kichwani na interview aliofanya juzi na sokabet amethibitisha hilo..
Nitajie wabongo wako wakali wa 3