Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini.
Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike.
Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae kimya kutekeleza ilani ya chama?