Nitajie kiongozi wa CCM aliyelalamikia uwepo wa mgawo wa umeme nchini? Kama hakuna, je mgawo ni ajenda ya chama?

Nitajie kiongozi wa CCM aliyelalamikia uwepo wa mgawo wa umeme nchini? Kama hakuna, je mgawo ni ajenda ya chama?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini.

Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike.

Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae kimya kutekeleza ilani ya chama?
 
Imetolewa miezi 6 ili tatizo limalizwe kabisa . Je, mnataka kusikia mnaambiwa kuanzia kesho hakutakuwa na tatizo?
 
Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini.

Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike.

Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae kimya kutekeleza ilani ya chama?
Hata cdm umesikia wa pi
 
Nchi masikini zote ziko hivyo kuanzia Chama tawala mpaka wapinzani wote hali moja

Sioni mwenye unafuu maana hata wapinzani wachache sana watasema tukishika nchi tutahakikisha maji yanapatikana au tatizo la umeme litaisha au vijana tutahakikisha wanapewa elimu na kuifanyia kazi au tutatoa ajira 2m

Yote hayo huwezi kuyasikia ila na hawa Chama tawala wanafurahia kuona wapinzani wanapiga kelele na matusi badala ya kuongelea matatizo ya wananchi
Wote hawana akili
 
Back
Top Bottom