Nitajie mahali yako

Nitajie mahali yako

Binti ndo anapima uwezo wa mme wake mtarajiwa kwenye maongezi yao halafu wazazi wanamhoji binti maswali basic jibu linapatikana. Ila wazazi wa kijana kama Wana uhakika na uadilifu wa binti na familia yake kiujumla wanaweza kutoa nyongeza juu.
 
Kwa jinsi dada zetu wametumika sana na anaweza kutumika hata siku moja kabla ya kumuoa na kuna wahuni wataendelea kumnyandua hata baada ya ndoa.

Ipitishwe mahari isizidi milioni 1 na bargaining iwepo
 
Waliniambia mil 5. Nikamtia mimba wakamfukuza aende kwa aliempa mimba.

Bao langu 1 tu limenipatia mke.
 
Back
Top Bottom