mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 607
Tabora kuna nyumba za udongo mjini karibu na stand kabisaa
Songea umetoka liniLindi
Songea
Tabora
Nyumba za udongo mbona hata Kariakoo zipo...Tabora kuna nyumba za udongo mjini karibu na stand kabisaa
Haya sawaNyumba za udongo mbona hata Kariakoo zipo...
Kuna manispaa zina hali mbaya tabora afadhaliTAbora
Tabora tena
Tabora tena
Tabora tena
Siku ya kwanza naingia bukoba,sikuamini3.Bukoba
Zipi hizoKuna manispaa zina hali mbaya tabora afadhali
Manispaa nyingi za ukanda wa pwani zipo nyuma afadhali hata hiyo tabora nyingine sumbawanga bado sana, kigoma, bukobaZipi hizo
Kama kuna mikoa ambayo sijawahi ielewa basi mmoja wapo ni Lindi
Pamekaa kichovu sana aisee
Songea Vs SINGIDA jeLindi
Songea
Tabora
Ngoja nisome comments kwa kweliKizimkazi
Wabadilishwe wamefanya nini?Hivi wilaya ya RUNGWE pale halmashauri hawana kabisa mpango wa kubadilisha watumishi walio kaa mda mrefu.
🚶🚶🚶🚶
TZ yote isipokuwa ilalaNaomba niorodheshee miji ambayo NI makao makuu ya mikoa nchini iliyozidi kudumaa kiashiria kimojawapo NI uwepo wa nyumba za udongo barabara kuu katikati mwa mji.
1. Lindi
2..........
3...........
Siyo manispaaBabati