Rombo ni manispaaRombo
Nilikosea mkuuRombo ni manispaa
Hata Kariakoo zipo, Temeke, Mwananyamala, Kigogo, Mburahati, Buguruni Malapa na mwanagatiTabora kuna nyumba za udongo mjini karibu na stand kabisaa
Tuombe radhii urambo Kuna barabara Kila mtaa..2.Tabora
Kigamboni pia🪒🪒Hata Kariakoo zipo, Temeke, Mwananyamala, Kigogo, Mburahati, Buguruni Malapa na mwanagati
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabora ipi hiyo unayo izungumzia??Lindi
Songea
Tabora
Huyu jamaaq anamatatizo yani Tabora ipi iliyochoka
Kweriiiii tena naunga mkono hojaa..
Nimeshangaa sana kusema Tabora municipal imechokaHuyu jamaaq anamatatizo yani Tabora ipi iliyochoka
Hao wana viwanda,biashara na madiniIlala
Ubungo
Temeke
Hawana mazao wala madini ya kuzalisha ila wanategemea vyote vitoke mikoani.
NB:Ziitwe manispaa za kutoza ushuru tu.Hawana wanachozalisha.
Home boy .watu wanaishi kwa kukalili Tabora ya sasa ikovizuri aise
Huko hata kama zipo ila kushaendelea long time na sio kikwazo ss kariakoo nyumba za udongo na maghorofa yapi mengiHata Kariakoo zipo, Temeke, Mwananyamala, Kigogo, Mburahati, Buguruni Malapa na mwanagati
Sent using Jamii Forums mobile app
1-Viwanda,wanatoa wapi malighafi za kuzalishia bidhaa?Hao wana viwanda,biashara na madini
Hata wakitaka kutangaza majiji mapya ni Manispaa hizo tatu ndiyo zina sifa ya kupewa hadhi ya jijiKweriiiii tena naunga mkono hojaa..
Unakuta amefika Tabora 1990 kwa kupita kwenye treni tuHome boy .watu wanaishi kwa kukalili Tabora ya sasa ikovizuri aise
Hata maji ilala shida mbunge haonekani kabisaaaIlala
Ubungo
Temeke
Hawana mazao wala madini ya kuzalisha ila wanategemea vyote vitoke mikoani.
NB:Ziitwe manispaa za kutoza ushuru tu.Hawana wanachozalisha.