Nitajie manispaa zlizochoka zaidi kwa Tanzania

Hao wana viwanda,biashara na madini
1-Viwanda,wanatoa wapi malighafi za kuzalishia bidhaa?
2-Biashara ipi wanayofanya ambayo chanzo chake ni hapahapo zaidi ya kusubiri wenye mali kutoka mikoani au nje ya mipaka?Wao ni wapokeaji tu.
3-Madini yanachimbwa wapi zaidi ya kokoto kunduchi+mchanga?Madini yote yenye thamani yanatokea Mwanza,Shinyanga,Tabora,Ruvuma,Njombe nk au nje ya nchi kama Congo DR ,Zambia nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…