Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Kuhusu tabia ulizoandika ni kweli. Je tufanyaje tudumu?
 
Mimi ni mume jina linaanzia I tarehe ya kuzaliwa 26/06 na mke wangu ni M tarehe ya kuzaliwa 15/08
 
M 08/11
M 08/11
(me vs me)
Niangalizie hapo nikiwa singo mambo yanakuaje
 
Mwamba umenitisha mnooo .... yaani yote uliyoyasema ni kweli kabisa
 
Thanks mkuu nimekuelewa
 
Ke 17/8
Me 10/4
 
Mkuu mwenye post plz njoo tena.
Hawezi kuja huyo, lengo lake sio kutoa msaada humu bali ni kiwapiga pesa. Na ndio maana katoa maelezo mengi halafu kaweka na namba za simu ili wakuingia kingi aingie kwa kumtafuta kwenye simu. Angekuwa mtoa huduma angewajibu watu humu ila ni mtumia fursa huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…