Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani Astrology ni wasanii? huna ulijuwalo hapa duniani.Uwongo tu,hii ni aina nyingine ya kupiga ramli au Mazingaombwe,Anayejua hatima yangu na mke wangu ni MUNGU tu,lkn sio huu usanii.
Mimi wakiume 30/08 jina linaanza na H na ke ni 26/01jina linaanza na ifafanua kidogo kama nilivyoweka hapo kwenye thread usiwe mvivu kuandika
Kwa mtizamo hapa unaonekana wewe na yeye mnaendana kwa asilimia 90 kwa maana ni watu wenye kuendana kiasili ya nyota zenu nyote ni udongo ambapo wewe ni udongo wa pwani na yeye ni mchanga wa fungu hivyo ni watu mnaendana vizuri na pia kindoa mnaingia katika mlango wa 12 yaani ni mlango uliojaa fungo na siri kwako utanufaika sana ukiwa nae na ufuatao ni uchambuzi wenu:Me 17 January herufi C
Ke 21 April herufi E
Mimi ndio Me
Mpuuzi wewe
Asante mkuu kwa kunisaidia kujibu hawa watoto waliogeuza bange chakula badala ya starehe.Yani Astrology ni wasanii? huna ulijuwalo hapa duniani.
Hivi kila kitu mpaka uambiwe na paroko wako aliyekushika akili?
Unaelewa wale mamajusi walikuwa ni watu gani? Waliiona nyota ya mashariki masiha amezaliwa wakaenda kumsujudia na kumpa zawadi ya mavumba, dhahabu ubani na manemane.
Swali unawajuwa mamajusi ni watu gani? Kwa kukusaidia anzia Google kabisa halafu ndio urudi hapa.
R ni meJinsia?
Sawa mkuu kwa mtizamo unaonekana ni mtu mwenye mwenendo wa mchanga mwekundu na yeye ni upepo wa kimbunga kwa mtizamo huu tu ni watu ambao hamuendani lakini nitakufafanulia hapa kwa ziada maana mnaendana kwa asilimia 28 tu.Mimi wakiume 30/08 jina linaanza na H na ke ni 26/01jina linaanza na i
Sent from my Infinix X606C using JamiiForums mobile app
Unaweza kuisoma kwenye thread yangu hiiMkuu nini maana ya hio milango
Ke ni 7/3 herufi H..Me ni 8/6 herufi RKaribu mkuu kwa mtizamo wake mume:
Mume 7 June
Mke 26 November
Kwa mtizamo huu huyu bwana mdogo anaonekana kuwa na huyu binti wanaendana kwa asilimia 95 yaani pea yao imekaa vizuri sana na kuna maisha ya mapenzi na ndoa hapo yenye heshima,amani na upendo kwa maana huyu bwana ni Upepo wa juu na huyu binti ni upepo wa nyasi hivyo wanaendana vizuri hawa mkuu. nao watafunga ndoa ya amani na yeye kukubarika mtizamo wao upo hivi;
Hawa wawili ni kama hasi na chanya na kulia na kushoto au ni kama jengo lenye nguzo mbili wanaendana na wanamvuto kwa kila mmoja wenye kani ya sumaku na ni wenye fikra na akili moja na mawazo ya pamoja kwa pamoja wanaonekana ni watu wenye kukubaliana kwa mitizamo ya kila mmoja kwa mwenzie na wote huchangia pamoja maelewano yao na ni wenye utulivu katika upendo wao.
Binti huelekea kuwa ni mwenye akili zaidi na bwana ni mtu wa watu pia wote hawana utulivu wakikutana na hupenda kubishana bishana kwa upendo na wote ni wenye kupenda uhuru na kupeana uhuru. ijapokuwa wanaweza kutokuridhishana kwenye tendo lakini ni wenye kupenda kufundishana na kuambiana kila mmoja vile anavyotaka kwa kuwa ni wenye maelewano hufikia kuiokoa ndoa yao kwa kila tatizo linapowaijia hawa ni wenye kukutana kwa usalama na hata ikitokea wameachana basi huachana kwa usalama.
Kwa kuwa ni wanao haina umuhimu wa kukutajia sehemu zao za hisia.
Rakims
Mkuu hivi ni kweli hunielewi .....mbona nimeandika clear kabisa ....Sawa yupi wewe hapo mkuu?
Mkuu mimi ni mume jina E tarehe ni 6/12Mtihani sana mkuu.