Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Details hizi hapa Rakims
Ya kwako ni hii mkuu

Sawa kwa mtizamo huu unaonekana ni mtu mwenye asili ya upepo wa kimbunga na yeye anaonekana ana asili ya maji yaliyotulia
Hivyo kwa mtizamo ni watu ambao hamuendani maana mnaendana kwa asilimia 38 ambazo ni ndogo sana katika mahusiano yenu na ufuatao ni uchambuzi wako;

Unaonekana ni mtu mwenye kuvutiwa na haiba yake ya kimapenzi na vile vile yeye anavutiwa zaidi na maadili na maono yako dimbwi lake la mawazo anaonekana kuliwazika zaidi na chochote kile ambacho wewe unataka kwake na ni watu wenye uwezo mzuri wa kufikishana kwenye ladha ya mapenzi. Ingawa kwa vyovyote vile mnavyokuwa mambo huanza kwenda kombo pale ambapo yeye huanza kutaka na kulazimisha zaidi wewe kwenda katika ulimwengu wake wa ndoto za mchana katika mapenzi na kuota kufanya mambo makubwa na kukulazimisha kufanya hata kama huna uwezo navyo yeye ni mtu mwenye kutaka mtu ambaye atakuwa thabiti katika kumuongoza kila wakati na kumpeleka kimazungumzo anavyotaka yeye na ni uwe mtumwa wake zaidi ndivyo yeye anavutika zaidi hivyo mtu anaemfaa zaidi huyu ni wenzie either mwenye maji moto au maji ya bahari kwa wewe ni bora uangalie uelekeo mwingine kwa maana hapo utapasuka roho.

SEHEMU ZAKE ZA HISIA;

Miguu ndio sehemu yake kuu ya hisia ukiweza kucheza nae vizuri hapo unaweza kupewa unachotaka.
 
Upo sahihi kwa 95% mpaka nimeogopa
 
Sawa kwa hapa mtizamo wenu unaonekana kuwa sawa na maelekezo niliyotoa hapa;

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ambao hatuna wapenzi tunacoment manini Hapa?? Au hautuhusu
 
Uwongo tu,hii ni aina nyingine ya kupiga ramli au Mazingaombwe,Anayejua hatima yangu na mke wangu ni MUNGU tu,lkn sio huu usanii.
 
Umehangaikia nini kuandika haya mkuu kama umejaa kisirani?
 
Me 17 January herufi C
Ke 21 April herufi E

Mimi ndio Me
 
Back
Top Bottom