Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Tunaishi pamoja japo sjajitambulisha kwao na tuna mtoto mmoja(uchumba)
R 15/11 boy
M 10/5 girl
Uchumba
 
Mimi ni Me-13/12 herufi G
Yeye ni Ke-15/7 herufi E
Ni Wapenzi

Kaka Rakeem Narudia mara ya 3 aisee

Mimi Mwanaume…Tarehe 13/12.. Herufi ya Jina G

Yeye Mwanamke..Tarehe 15/7…Herufi E

Tuna mahusiano Ni wapenzi wa miaka 4
 
Kaka Rakeem Narudia mara ya 3 aisee

Mimi Mwanaume…Tarehe 13/12.. Herufi ya Jina G

Yeye Mwanamke..Tarehe 15/7…Herufi E

Tuna mahusiano Ni wapenzi wa miaka 4
Niwie radhi mkuu nilikuwa sijaona.
Kwa mtizamo unaonekana ni kwamba wewe una asili ya moto wa nyasi na huyu binti ana maji ya bahari kwa mkanganyiko huu mkuu dhahiri kuwa inaonyesha hamuendani japokuwa mmedumu miaka minne kuna vitu unatakiwa uvifahamu;-
Hisia kali alizonazo na mapenzi yake ya ndoto huwa ni kama fitina muda mwingine kwako na pia wewe una mambo mawili kwenye mahusiano yenu wewe kuna mtizamo mkubwa unakuonyesha akili na fikra pana(elimu) uwezo wa akili yako hali ya kuwa yeye anakuwa anaonekana ni mtu wa hisia kali na mihemko ya tahadhari.
Nyie hamtakuja kukaa pamoja na kuelewana maana wewe utakuwa ni mtu ambaye hutoi ulinzi na usawa kwake ambao unaweza kubalance wivu alionao na kisirani chake cha chini chini, Bila hata wewe kujua utajikuta unalaumiwa kuwa unamuumiza au kumtesa na hali ya kuwa wewe hutaelewa ni wapi unakosea na hii itakuwa inatokea mara kwa mara na kama utaingia kwenye ndoa nae utakuwa ukidhaniwa kuwa unamnyanyasia mapenzi.
Na utakuwa ni mtu wa kujaribu kutafuta faraja ya hisia zako nje na nyumbani
utakuta ni mtu wa kujiliza liza na kulalamika na kujaribu kujilazimisha kuvumilia ili muwe pamoja lakini yeye kwako kitakacho mponza ni hisia zake kukupenda wewe ambae hutakuwa unaelewa hisia zake na wewe utaona hakuelewi.
Mnapendeza zaidi mkiwa marafiki na ni bora zaidi.
Ndoa kwenu ni sawa na pata potea.


SEHEMU ZAKE ZA HISIA:
Kama nilivyoelezea awa li kuwa hawa watu wa maji bahari hisia zao zaidi zipo kwenye maziwa hivyo tafuta njia nzuri ya kucheza nae hapo basi utaona anakuwa maridhia kwa vitimbi vyako na utaweza kumkamata yote kwa yote wewe na yeye kwenye ndoa ni mateso sana kwa maana moto unahitaji upepo kukolea na maji yanahitaji ardhi kuweza kukaa nyie kwenye ndoa kila mmoja atizame uelekeo mwingine au kama unaweza basi uoe zaidi ya mwanamke mmoja.
Still bado kwako ni mtihani ukiwa nae kindoa
 
Me:H tareh 29 June 91
Ke:L tareh 22 December 95
Uhusiano:Bado hatujaoana
Kati yenu kuna mvuto mkubwa sana wa kingono na pia mnaendana vizuri na kimtizamo mnaendana vema sana kwa maana yeye ni mchanga wa bahari na wewe ni maji ya bahari hivyo mna mtizamo mmoja katika mambo yenu mengi na mnaendana kwa asilimia nyingi;
Kama mtaweza tu kuwezana tabia zenu basi moja kwa moja mtakuwa na mahusiano yenye bahati na mafanikio makubwa kindoa mfano wake utasikia watu huyu kaoa leo nyota yake imeng'aa au mafanikio yake yamefunguka yupo vizuri kwa kila sekta hii ni kwa maana kuwa hata mkiingia kindoa mnapatikana katika mlango wa 12 yaani mzunguko mzima wa nyota 12 unakuwa pamoja na nyinyi bega kwa bega na kila mmoja wenu anakuwa kayapatia maisha na hakuja haja ya kuhofia riziki kwa maana kwenu mkiwa pamoja kila jambo huenda vizuri na kwa ufasaha zaidi.
Lakini kwenye mlango wa kazi pia unatakiwa sana ujitahidi kumuachia yeye pia afanye kazi na kama ni biashara mpe nafasi ya yeye kuisimamia utaona maajabu ya Mungu kwa maana wewe asili yako ni mazingira ya nyumbani na yeye ni mtafutaji mzuri na ana nyota ya mafanikio na ndio bahati yako imelalia kwake usije kumvuruga wala kumuharibia muelekeo kwani huyu unaweza kutembelea nyota yake pindi utakapofunga nae ndoa na ukitaka kuthibitisha hapa kwa watu kwamba haya mambo sio kubahatisha basi muoe siku ya jumatatu kama sio saa 1 asubuhi saa 8 mchana na kama sio hapo basi saa 3 usiku utajiuliza ulichelewea wapi kwa maana usiku wa kwanza tu mmeanza kuitumikia ibada ya ndoa matunda yake siku inayofuata hadi kuingia usiku utaona matokeo na hapa nazungumzia ndoa sizungumzii uhawara.
ni mtu sahihi kwako na ana maslahi mengi na hutaamini ukiwa nae.
na pia ni mtu ambaye anaweza kukukamilishia all the attention you need. Na vile wewe ni mtu wa aibu na mwenye hisia kali na kupenda kukosoa basi huyu kwako ni sahihi;-
Mtizamo unaonyesha wewe ni mtu wa aibu,hisia na mwenye kutaka affection wakati yeye ni mtu wa kuondoa aibu,kuponya maumivu ya hisia na kutawala ndio sifa zake basi popote utakapo hisi you are down she will lift you up haijarishi kipesa mawazo au hisia.
Tofauti zenu zinaweza kuwa kubwa sana ambazo zitaleta furaha za muda mrefu, yaani hapo ni mfano wewe ni hasi na yeye ni chanya. Perfect Match.

Rakims
 
Tunaishi pamoja japo sjajitambulisha kwao na tuna mtoto mmoja(uchumba)
R 15/11 boy
M 10/5 girl
Uchumba
Kwa mtizamo unaonenyesha wewe ni maji ya moto na yeye ni mchanga wa fungu. huyu ndio mwenza wako mnaoendana kwa safari nzima ya maisha na anaweza kukukamilisha na kukufaa zaidi na ni perfect match wako kwa sababu;-
Yeye anaonekana ni mtu mwenye stamina na hamu na ana uwezo mzuri wa kukidhi mahitaji yako hasa mkiwa chumbani na mkiwa pamoja ni watu wenye kujiweza kuwasha na kuzima moto wenu wenyewe ni watu mnaweza kugombana dakika 1 kisha ya pili mkaelewana.
Lakini kipi ambacho kinaweza kuwa tatizo kwenu kwa masaa yaliyo baki mnaonekana;-
Kwanza kabisa nyote wawili ni wenye wivu wa kupindukia na viburi(wakaidi) tofauti yenu ni kwamba yeye ni mtu anaependa kummiliki mpenzi wake na kama mtu wa thamani sana, kama ilivyo kwa kitu cha thamani na wewe unakuwa ni mtu wa hisia sana.
Ingawa mnashiriki mshikamano mzuri kuhusu maswala ya pesa, wewe ni mfadhili na hudharau uvivu,
wakati yeye anapenda kutumia kwa kujiridhisha kama yeye na ni jambo lingine nyote wawili japokuwa ni watu mnaendana sana lakini ni sawa na fahari wawili kila mtu anataka awe zaidi na ikitokea mmoja hajakubali kuwa chini ya mwenzie basi ni sawa na nahodha wawili wanaogombania kuendesha meli vita vikizidi chombo kinazama.
Elewa kwa mtizamo huu ukishindwa kuishi na watu wenye mchanga wa fungo ambao wanaweza kukumudu wewe basi utaishia kuwa mpweke na kila mtoto kuwa na mama yake kama mlivyo na sifa hii wengi wenye maji ya moto
 
Mimi me jina E tareh 19/06/1992
Yey ke Jina L tarehe 23/05 /

Nasubir mkuu
 
Mimi me jina E tareh 19/06/1992
Yey ke Jina L tarehe 23/05 /

Nasubir mkuu
 

Duh Ahsante mkuu umeelezea vyema mpaka nimeogopa ubarikiwe[emoji1488]
 
Narudia Tena

Me : tar 20/8 jina J

Ke: tar 3/11 jina S

Tupo kwenye mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…