Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia TenaKaribu.
Mkuu ugomvi?Narudia Tena
Me : tar 20/8 jina J
Ke: tar 3/11 jina S
Tupo kwenye mahusiano
Kifupi hamuendani na hamna maelezo marefu kwenye nyie ni moja kati ya couple iliyokosea njia au pa kwenda no matter how she is wewe kwake ni sawa na moto wa mkaa ukautupe kisimani utegemee uendelee kuwaka tafuta mwingine maana mtazamo unaonyesha wewe ni mkali,mwenye kutawala;Rakims
mimi wangu kazilwa 14/8
mimi nimezaliwa 14/3
majina lake linaanza na V
jina langu linaanza na S.
hembu chambuaaaaaa
NIMEISHIA KWAKO MKUU NITARUDI KUENDELEA.......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Habari Rakims
[emoji419] Kwanza nikupongeze kwa elimu nzuri unayoitoa kwa watu wengi,naam mimi nimekuwa mfaidika kwa kiasi kikubwa; Lakini pia ni kama vile mimi ndio naishikilia hii ndoa kwa kiasi kikubwa,nikimaanisha mwenzangu alishajitoa muda mrefu kuipigania ndoa hii_Je,hapa hatima ya ndoa hii ni vipi? Inawezekana nilioa mtu ambaye sikupaswa kumwoa? Nakutajia details za tarehe zetu|miezi|na miaka tuliyozaliwa ili UNISAIDIE KUNIFUNULIA HATMA na SIRI NYINGINE KATIKA MAHUSIANO HAYA[emoji120]ili kama kuna MAAMUZI MAGUMU YA KUFANYA BASI NIYAFANYE MAPEMA.
Mimi mwanaume jina langu herufi ya kwanza:I
Nimezaliwa tarehe:04/10/84
Mwezi wangu jina lake herufi ya kwanza: J
Kazaliwa tarehe:16/5/86
NB: NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke : tarehe 20/11 jina linaanza na SNIMEISHIA KWAKO MKUU NITARUDI KUENDELEA.......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hii imekosewaMwanamke : tarehe 20/11 jina linaanza na S
Mwanaume : tarehe 20/11 jina linaanza na J
Tupo kwenye mahusiano kuelekea uchumba
ahsante mkuuSawa mtizamo unaonyesha wewe ni moto wa mkaa na yeye ni upepo wa pumzi mnaendana sana japokuwa kwenye ndoa mnaingia katika mlango wa nane mlango wa kifo na ufufuo.
Mtizamo unaonyesha ni watu mnaweza kuingia haraka kwenye mapenzi au ndoa kwa sababu ni watu mnaweza kuwa na mtizamo mmoja na wenye kupenda mambo mengi yanayoendana.
Hivyo vitu vyenu vingi nyote wawili ni maisha ya kijamii,sherehe,theater(movies & tv-shows) marafiki wengi,uchangamfu.
Yeye anaonekana anaweza kufungua (joie de vivre) kama ni mtu wa kufuatilia sana series na movies utaelewa namaanisha nini yaani anaweza kukuretea furaha tele ya maisha mambo yenu ni watu wa kukimbizana na aina mbali mbali za burudani na furaha ya maisha nyote mnaonekana kila mmoja ni mwenye kumtafutia mwenzio kuona raha ya maisha kupitia yeye.
Unaonekana ni mtu mwenye kufurahia imagination zake zinazompeleka mbali kimawazo na vile vile uchangamfu wake chumbani na utani/uchokozi unafurahia sana kucheka na kufurahi mkiwa chumbani na ni mtu wa kupata hasira na kuishiwa hamu ya kufanya tendo pale anapojaribu kuweka userious kidogo chumbani.
Yeye anaweza kuwa kichocheo kikubwa cha wewe kuwa na wivu kwake kwa sababu ya njia nyepesi yeye aliyonayo katika kugawa/kusambaza upendo kwa watu tabia yake ya kucheka na kila tu hukufanya kuamsha hisia zako za wivu .
Unaonekana ni mwenye mihemko na mkali zaidi kuliko yeye.
Maisha yenu pamoja yanaonekana ni yenye kusisimua na kukasirisha at the same time,
Lakini mnaweza kukaa kwa furaha na amani ikiwa yeye tu atakuwa muaminifu na kuendelea kubaki hivyo vinginevyo Poof!
Mwisho wa hadithi.
Hiyo ni kutokana na wewe asili yako ni kuwa ni mtu mwenye moyo mkubwa na hisia kali na usiyeweza kuvumilia usaliti.
na mwenye kuweka kitu kwenye roho kwa muda mrefu sana.
Rakims
sijakupa maelezo ya kutosha au hatuna maelewano ya kutosha.Kifupi hamuendani na hamna maelezo marefu kwenye nyie ni moja kati ya couple iliyokosea njia au pa kwenda no matter how she is wewe kwake ni sawa na moto wa mkaa ukautupe kisimani utegemee uendelee kuwaka tafuta mwingine maana mtazamo unaonyesha wewe ni mkali,mwenye kutawala;
Yeye ni mtu asiyependa kutawaliwa na ni wa mambo ya miujiza au kichawi(Mshika dawa)
Mtajikuta ni wenye kufanyiana fitina kwa sababu mpo tofauti sana hapo ni sawa na kama sio wewe mwenye mambo ya waganga na vidawa dawa vya kuroga mapenzi basi ni yeye huna tofauti na mtu aliyeoa mchawi halafu hamjui ni level imejaa mauza uza ikikutana na wewe uongo mwingi na imani nyingi ana pande mbili za shiringi kama sio mshirikina basi ni mtibu ushirikina imani yake imebase katika mambo ya kichawi au kiroho kama sio black magic basi ni white.
Japokuwa kasoro au tofauti zenu wewe hazikuumizi kichwa lakini tabia zako na zake haziendani kabisa endelea kuwa nae utajua nazungumzia nini,
Kupenda kwako kutoka na kuenjoy maisha na kujifunza dunia inasema nini kwake yeye ni vitu vya ajabu na yeye ni mtu wa kujificha ndani au msiri msiri mambo yake sasa wewe tabia yako ya kujionyesha kwake sio na wewe unamove fast while she is slow,
Nyote mnatabia ya kuchukua zaidi ya kurejesha kitu ambacho kwenye mapenzi huwa ni nipe nikupe sasa wote mkiwa ni nipe cha kupewa kitakosekana.
Usiri wake ni kitu ambacho hutaweza kuvumilia.
Muda hautakuwa mrefu wewe utaanza kusaka nje.
Rakims
Mkuu naomba usinirukeNIMEISHIA KWAKO MKUU NITARUDI KUENDELEA.......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtu wa kwanza kbs kumpostHakuna sehemu nimesema hivyo na kama ipo ni typing error tu. wewe acha kukurupuka
Nyota zipo 12 katika nyota hizo kumi na mbili kuna makundi manne ya nyota yanayoziunganisha ukiona nyota kundi moja mfano nyota za maji sio zote ni maji aina moja kuna maji aina tatu ambayo ni Kaa,Nge na samaki zote ni maji na pia sio zote ni maji ya namna moja hapo kuna maji ya bahari,maji ya kisima na maji ya moto hivyo ni vitu vitatu tofauti sio watu wote wenye nyota za udongo wataendana na nyota hizi za maji mfano mchanga mweupe wa baharini huwezi kuupata kwenye maji ya moto maji ya moto utayapata kwenye chuma au chombo cha moto ndio huyabeba na maji ya bahari mwenzie ni mchanga wa bahari mkuu usisome kitabu kimoja au viwili na google kisha ukaweka hoja nzuri kwenye thread ya jambo usilojua ni bora ungeuliza kuliko kuhukumu.Mtu wa kwanza kbs kumpost
Mmoja ana nyota ya maji mwingine udongo ila umesema watakua na mifarakano..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]NYAMBAFUUUU UMEKUJA KUFANYA MAJARIBIO EEH BAADA YA KUSOMEA UCHAWII SIO....HALAFU KESHO UFUNGUEE....OFISI YA MGANGA WA KITABU
mkuu Rakims umeniruka post namba 386 ujanichambulia details mimi mwanaume sijaoaIkiwa unahitaji maelekezo ya ziada mkuu ongeza details na weka hoja ndugu yangu.