Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Pole Kwa majukumu mkuu

Unanisahau mpaka nakosea

Mwanamke jina S

20 November

Mwanaume jina J

20 august

Bila Mimi mahusiano hayapo nisaidie kuangalia

Ni wapenzi tunaelekea kuwa wachumba
 
Pole Kwa majukumu mkuu

Unanisahau mpaka nakosea

Mwanamke jina S

20 November

Mwanaume jina J

20 august

Bila Mimi mahusiano hayapo nisaidie kuangalia

Ni wapenzi tunaelekea kuwa wachumba

Jinsia

Mwanaume
 
Pole Kwa majukumu mkuu

Unanisahau mpaka nakosea

Mwanamke jina S

20 November

Mwanaume jina J

20 august

Bila Mimi mahusiano hayapo nisaidie kuangalia

Ni wapenzi tunaelekea kuwa wachumba

Jinsia

Mwanaume
Asante mkuu kwa hapo baina ya wewe na yeye kwanza kabisa elewa kuwa wewe ni mwenye asili ya moto wa mkaa na yeye ni moto wa nyasi kimtizamo nyie mnaendana vizuri sana na ni perfect match na yafuatayo ni maelekezo yenu;-


Kwa mtizamo unavyoonekana mnaendana kwa asilimia 75 si haba tabia zenu zinafaa kuoana vema pia tambua mahusiano yenu
Unaonekana kuvutiwa na matumaini yake na anaonekana ni mtu mwenye kukupa matumaini na vile yeye ni mtu wa kusafiri au kutoka unakuwa ni mvuto zaidi kwako ambaye pia unaonekana ni mtu mwenye kuliwazika ukipata visafari/mitoko midogo,
kwa pamoja mnaonekana ni wenye kujumuika katika kuwa na mahusiano yenye uhuru ya bila kubanana yaani kujinafasi na kukutana na watu wapya nyote ni watu wenye mapenzi makali ya moto na wenye kuvutiwa katika tendo la ndoa.
Kama kuna mtu wa kumfanya yeye kutulia na kuwa muaminifu na mtulivu basi ni ambae unaonekana kummdu vema ingawa unasema mahusiano unayasimamia wewe bila wewe hayapo fahamu ni kwamba asili yake huyu ni mtu wa kupokea na kujifunza kwa muda kisha baadae huanza kurudisha fadhila hadi uzeeni.
unamuweza unaonekana ni muongozaji mzuri kwenye maswala ya mahusiano ni kiongozi bora na kitu ambacho kinamfanya kuvutika zaidi na wewe.
Pia unaonekana ni mtu wa kujisifu kiasi na mwenye kujiamini nae ni mtu wa matumizi makubwa na mwenye kuja kukuletea furaha hata kama ni masikini atakuja kukuletea mafanikio makubwa maishani kindoa mnaingia katika mlango wa 2 mlango wa pesa na mafanikio.
Ni mtu yupo radhi kukukamilishia chochote.
Hivyo vumilia sasa hivi baadae utapata matunda na kama niliyokwambia hayarelate basi jua ni mtu tarehe yake haipo sahihi

Sehemu za hisia:
Sehemu zako za hisia zaidi ni maeneo ya moyoni na kifua lakini kwa yeye ni mapajani ikiwa utamtomasa vema mkiwa mmekaa pamoja ni mtu mwenye kupenda michezo ya mafuta(18+) hivyo huona raha sana.

Rakims
 
asante mkuu uliyoyaeleza mengi nimejionea yote ni sahihi kumuhusu ni kweli mahusiano yetu yametia nanga huyu mwanamke ameolewa wiki tano zilizopita na kijana toka unguja-zanzibar ndo anakoishi sasa pia ana asili ya huko ni kwa upande wa mama yake lakini siku za hivi karibun namuota eti ananiambia afurahii mapenz ya ndoa au ndo hio asili yake ina effect uko pia unaweza kuniambia kitu mkuu
yeye ke: 29/7 herufi A
mume: heruf M(Mohamed) sina tareh yake
mahusiano: Ndoa
 
DONATION:
Ngoja nijazie nyama mkuu Rakims

Mimi Me, march 21 , jina linaanza na R
Yeye ni Ke, April 5, jina linaanza na S

Mahusiano ni wapenzi
Nyote wawili ni fahari wawili wenye asili sare ndio maana hata mkionana utakuta ni wale wanaitwa love at first sight kwa maana wewe ni moto wa jaha na yeye pia hivyo katika mtizamo tunasema;
Mapenzi yenu ni makali na moto mkali ambao unaweza kuunguza chochote lakini ukikosa cha kuunguza mnaunguzana wenyewe nikiwa na maana kati yenu mapenzi yenu ni sawa na mbio za riadha au vita kila mtu anataka ushindi challenges na utawala nani awe juu ya mwenzie ni jambo litakalo kuwa katika roho ya kila mtu japo mnaweza kufichana katika nyama.
Kuna vitu atakuwa anafanya unaona kabisa huyu anafanyia ushindani na nyie ni sawa na time bomb any second! kabooom!!!
Vyote mnakuwa mnaendana kasoro kwenye issue ya uaminifu na sex hapo tu ndio kuna vita pia migogoro yenu itapungua kama kila mtu nguvu zake atawekeza nje na hasira vile vile ni watu mkikutana basi pesa na bahati hufunguka baada ya kufanya tendo hata hivyo ni watu mnaweza kutumia pesa inayayuka kama moto na pesa ikiisha ndio roho zinatulia.
Mnaendana vizuri ila mtakamilika kama yeye au wewe mmoja wenu akijishusha ila moto wa hapo. Hizi ndoa mara nyingi wahusika sauit zao huwa kama zimeharibikia kwenye max volume yaani mtu aliongeza sauti kisha switch ya sauti ikaharibikia huko any second ni
1650311365131.png

Lakini inakuwa ya maelewano na upendo

1650311362865.png
 
asante mkuu uliyoyaeleza mengi nimejionea yote ni sahihi kumuhusu ni kweli mahusiano yetu yametia nanga huyu mwanamke ameolewa wiki tano zilizopita na kijana toka unguja-zanzibar ndo anakoishi sasa pia ana asili ya huko ni kwa upande wa mama yake lakini siku za hivi karibun namuota eti ananiambia afurahii mapenz ya ndoa au ndo hio asili yake ina effect uko pia unaweza kuniambia kitu mkuu
yeye ke: 29/7 herufi A
mume: heruf M(Mohamed) sina tareh yake
Bila tarehe inakuwa mtihani mkuu lakini kwa herufi kwa huyu mwanaume Mkunyenge upo vizuri tu.
Sasa mkuu ulikuwa unaangalia kunipima au?
 
Bila tarehe inakuwa mtihani mkuu lakini kwa herufi kwa huyu mwanaume Mkunyenge upo vizuri tu.
Sasa mkuu ulikuwa unaangalia kunipima au?
hapana mkuu sio kukupima ila uyu alikuwa mpenz kitambo nilikusudia kumposa lakin aliposafiri zanzibar kusalimia ndo akakutana na uyo mume kama miezi mitatu wakaoana yani gafla tu na alifanya siri me niligundua wiki mbili kabla ya ndoa basi niliumia sana mana nilimpenda sana nilikuwa njian kumchumbia lakini kwa maelezo ya hatima yetu uliyotoa leo basi imekuwa kheri sijajutia kumkosa mana nilikuwa bado namlilia kumbe hasara kwangu tu na leo ndio nimejua baada ya kutuelezea kiufupi yote uliyoeleza ni sahihi kabisa tuliishi hivyo..usinielewe vibaya mkuu sijakupima bali kujua tu kwa jinsi nilivyokuwa namlilia kumkosa na kuumia moyo je, kama ningemuoa tungekuaje?kwa maelezo uliyotoa kutuhusu ni mulemule tulivokuwa kwenye mahusiano
 
Habari yako kaka mkubwa

pole na hongera kwa iki unachotufanyia shukrani sana

Mimi ni mwanamke jina langu N-tarehe ni April 5

Mwenzangu jina lake ni A-tarehe ni September 15

Mahusiano -wapenzi tu
 
Back
Top Bottom