Pole Kwa majukumu mkuu
Unanisahau mpaka nakosea
Mwanamke jina S
20 November
Mwanaume jina J
20 august
Bila Mimi mahusiano hayapo nisaidie kuangalia
Ni wapenzi tunaelekea kuwa wachumba
Jinsia
Mwanaume
Asante mkuu kwa hapo baina ya wewe na yeye kwanza kabisa elewa kuwa wewe ni mwenye asili ya moto wa mkaa na yeye ni moto wa nyasi kimtizamo nyie mnaendana vizuri sana na ni perfect match na yafuatayo ni maelekezo yenu;-
Kwa mtizamo unavyoonekana mnaendana kwa asilimia 75 si haba tabia zenu zinafaa kuoana vema pia tambua mahusiano yenu
Unaonekana kuvutiwa na matumaini yake na anaonekana ni mtu mwenye kukupa matumaini na vile yeye ni mtu wa kusafiri au kutoka unakuwa ni mvuto zaidi kwako ambaye pia unaonekana ni mtu mwenye kuliwazika ukipata visafari/mitoko midogo,
kwa pamoja mnaonekana ni wenye kujumuika katika kuwa na mahusiano yenye uhuru ya bila kubanana yaani kujinafasi na kukutana na watu wapya nyote ni watu wenye mapenzi makali ya moto na wenye kuvutiwa katika tendo la ndoa.
Kama kuna mtu wa kumfanya yeye kutulia na kuwa muaminifu na mtulivu basi ni ambae unaonekana kummdu vema ingawa unasema mahusiano unayasimamia wewe bila wewe hayapo fahamu ni kwamba asili yake huyu ni mtu wa kupokea na kujifunza kwa muda kisha baadae huanza kurudisha fadhila hadi uzeeni.
unamuweza unaonekana ni muongozaji mzuri kwenye maswala ya mahusiano ni kiongozi bora na kitu ambacho kinamfanya kuvutika zaidi na wewe.
Pia unaonekana ni mtu wa kujisifu kiasi na mwenye kujiamini nae ni mtu wa matumizi makubwa na mwenye kuja kukuletea furaha hata kama ni masikini atakuja kukuletea mafanikio makubwa maishani kindoa mnaingia katika mlango wa 2 mlango wa pesa na mafanikio.
Ni mtu yupo radhi kukukamilishia chochote.
Hivyo vumilia sasa hivi baadae utapata matunda na kama niliyokwambia hayarelate basi jua ni mtu tarehe yake haipo sahihi
Sehemu za hisia:
Sehemu zako za hisia zaidi ni maeneo ya moyoni na kifua lakini kwa yeye ni mapajani ikiwa utamtomasa vema mkiwa mmekaa pamoja ni mtu mwenye kupenda michezo ya mafuta(18+) hivyo huona raha sana.
Rakims