Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

HADI SASA HAKUNA ALIYESOMESHA YA SODA 😀 watu 400+
 
Asante
Nimekuelewa vizuri mkuu
Umepatia Kila kitu

Kuna muda mwenzangu anakua ni mtu wa hasira za karibu na kibri

Tumejaribu kutoleana maneno machafu mara kadhaa mpaka kufikia kutamkiana tuachane (sio mara Moja)

Ila baada ya muda Kila mmoja hukosa amani na kuishia kurenew Tena penzi na linakua moto sana

Na huwa namshuku sana kuhusu uaminifu wake kwangu ( Kwa Sasa Yuko masomoni mkoa tofauti na wangu)

Hii inaminisha nini kwenye hili penzi?
Na Nini nikifanye Ili penzi lisiingie dosari ?

Nashukuru na pole Kwa kazi ngumu ndugu Rakims
 
bila shaka umenisoma apo juu mkuu Rakims
 
Asante mkuu ila naona umebase sehemu moja tu kwenye mapenzi vipi sehem nyingine maana wengine huko juu umechambua vipengere vingi.

Ulisema utakazia zaidi sehem kama..

Tabia zake
Sehemu yake ya hisia
Jinsi ya kumfanya azidi kuwa karibu na wewe
Mtizamo wake kwako
Mtizamo wako kwake
Unachopenda akufanyie
Udhaifu wake
Na vingine vya ziada

Mimi naomba uniangalizie zaidi kwenye hizo sehem nilizo weka italics ingawa ulishasema mimi ni upepo yeye ni mchanga..

Ila pia hujaniambia mimi ni upepo wa aina gani na yeye ni mchanga wa aina gani..

Kama itakuwia ngumu kurudi kuangalia post mimi me 17/5 herufi I yeye ke 21/5 herufi H in relationship
 
Shkamoo
Itoshe kusema kuwa uko vizuri
Na mi niandike yangu... ntajibiwa kweli?
 
Mkuu Rakims mimi ni Me nimezaliwa April 10 jina langu linaanzia na L
Yeye ni Ke amezaliwa january 12 jina lake linaanzia na N
Msaada wako mkuu

NB: amenizidi miaka miwili
 
Mimi ni mwanaume
Me :herufi linaanza Z tarehe 27/January
Ke: herufi inaanza A tarehe ni 13/April

Rakims nisaidie hapa
 
"Mimi ni Me, naitwa N, nimezaliwa tarehe 22/12.

Yeye Ke, anaitwa J, amezaliwa tarehe 2/8"
 
Punguza tu ego kwake na pia ubabe kwenye mapenzi maana unasifa ya kutengwa na wale wenye kukupenda kwa ajili ya ukali
 
Mimi ni mwanaume
Me :herufi linaanza Z tarehe 27/January
Ke: herufi inaanza A tarehe ni 13/April

Rakims nisaidie hapa
Mtafurahia mengi katika mahusiano yenu na kufokeana sana.
Wewe mawazo yako na fikra zako ataweza kupokea vema na yeye shauku yake ya kufanya ngono na hisia zake za mlipuko zinaonekana kuhimiliwa vizuri na wewe ni watu ambao kila mmoja hatataka kumfunga funga au kumbana mwenzie katika mahusiano yenu na kila mmoja atakuwa ni muelewa kwa mwenzie katika hitaji la kupewa uhuru,adventure na maslahi ya nje.
wala nyote mnaonekana sio wenye kupenda kutawaliwa kwenye mahusiano na vyovyote vile mahusiano yenu lazima yeye ndio atataka kuwa kiongozi na mwenye kukutawala kama upo radhi kutawaliwa basi kuwa nae.
Na kama tatizo la nani ndio mume ndani mtaweza kulisolve na umuache yeye ndio awe mume ndani na wewe ni mke badala ya kunyume chake kama utaweza kuvumilia basi dance with it.
Lakini kama utataka mashindano na wewe ndio uwe mume thabiti hapo utakuwa umepamia. Huyo ni aina ya wanawake wanaotaka wao ndio wawe wanaume ndani no matter how good actress they are in the beginning

Rakims
 
Me herufi I 30/9

Ke herufi H 07/3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…