Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

ME N i HerufiY TAREHE 4/12
KE Ni heruf R 26/7
ni mke na mume wana mtoto mmoja
 
Mahusiano ya kawaida tu
 
Me jina J tarehe 15.08
Me jina C tarehe 13.12

Mahusiano ya kawaida wala hatuishi wote
 

Mimi mwanaume.
Herufi ya jina langu ni M nimezaliwa 22/3
Mpenzi wangu ni L amezaliwa 7/4
 
Mungu hafurahii kifo cha mqenue dhambi mkuu
Wanatupiga GPS kila kitu wanaona na wanna destroy af wanaigiza wanatusaidia.
Mkuu siku au tarehe ya kuzaliwa co kitu Cha kuanika ..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
 
Ke 13/04 H
Me 24/12 S
 
Mkuu Rakims;

Mimi ni mwanaume, jina langu linaanzia na herufi N, nimezaliwa tarehe 22/12.

Huyu ni mwanamke natarajia kumuoa, jina lake linaanzia na herufi W, amezaliwa tarehe 29/11.

Aminia sana mkuu!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…