Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiiiiiiiiiii[emoji849]Naomba,mimi me tar.7/june 78,herufi ya kwanza ni E.Ke.tar.3. June 88,Herufi ya kwanza ni J.nasubiri jibu taf:
Hakuna uchawi ktk Israel wala uganga ktk Yakobo...Kwani hakuna Mungu katika Israel hadi mnawaendea waganga?
Hapo matatizo matupu, giza mbele yenu!Mimi Ni Ke, herufi inaanzia H, kuzaliwa 24/04
Yeye Me, herufi inaanzia N, kuzaliwa 05/04
Status: Wachumba
September 11, hatari tupu hapo vita kabisaa,Me September 11 K
Ke October 10 H
Uwiiiiiiiiiiii[emoji849]
Unakwama nduguHapo matatizo matupu, giza mbele yenu!
Kila mtu anawaza lake chuki bila sababu
Wiki hamsemeshani, ndugu zake hampatani lakini pia hakuambia hatima yenu nini.. kila siku kauli za subiri..
Tafadhali niPM nikumalizie na tiba
Kwani hakuna Mungu katika Israel hadi mnawaendea waganga?
Kuna ukweli gani hapaHabari zenu wana ndoa na wenye ndoto za ndoa,
Kwako wewe ni mwenye moto wa mkaa na yeye ni mwenye moto wa nyasi mnaendana sana kiasili na mnakuwa na mvuto mzuri japo hujasema aina ya mahusiano fuata maelekezo ninaposema kuwe na detailsMe herufi J tarehe 15.08
Me herufi C tarehe 13.12