Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

mimi E
21/05
Mwenzi M
15/03
Naomba info zote itapendeza
 
Yaani Mimi hata nisipo kutajia tarehe nikikutajia majina tuu utaona shida tulizo kua Nazi kwenye ndoa yetu ,Yaani hawa wanawake wenye majina ya happy nipasua kichwa aisee japo sifa ya umalaya hawa ila sasa maisha yandani eheee usiombe,.Tens bahati mbaya awe mchaga yeeeeuwiiiii utakoma aisee yaani kama Mimi home utadhani jinsia moja
 
Andika upya ujumbe na jitahidi ujitosheleze details mkuu instead ya mimi kuanza kupekua ujumbe upo wapi post ya ngapi ni bora mngekuwa mnazingatia maelekezo
Mimi ni mwanaume nimezaliwa april 10 jina linaanzia na L, yeye ni mwanamke amezaliwa january 12 jina linaanzia na N.
 
Mimi ni Me,Tarehe ni 16/4 ,helufi F
Yeye ni Ke, Tarehe ni 29/10, helufi S
 
Mimi Ni Ke, herufi inaanzia H, kuzaliwa 24/04
Yeye Me, herufi inaanzia N, kuzaliwa 05/04

Status: Wachumba
 
Naomba,mimi me tar.7/june 78,herufi ya kwanza ni E.Ke.tar.3. June 88,Herufi ya kwanza ni J.nasubiri jibu taf:
 
Mimi niko single !!! Je naruhusiwa kutaja traits za mwanamke nae wish aje kufall in love kwangu then nijue hatima or something.
 
Back
Top Bottom