Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,042
Nimetafuta uliponijibu sijaona mkuu tafadhaliNimejibu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetafuta uliponijibu sijaona mkuu tafadhaliNimejibu mkuu
Yaan umesema kilicho sasahihi sanKivipi mkuu>
Mimi sipigi Ramli. Mimi nina mamlaka ya kung'oa, kuharibu, kutengeneza na kujenga kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai. Naomba nijifunze kitu toka kwako bro, unalijuaje Jina la Yesu?karibu wewe utupigie patanishi
Wewe atakuacha kwa kuwa ni maskini 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Mimi mwanaume, nimezaliwa 14/06 A
Mwenzangu 19/03 V
Mbona mimi nilishamuwekea details zote kabisa lakini bado hajanijibu?Weka kwenye comment Yako kusudi aone,mbali na hapo atakwambia detail hazijakamilika.
Sawa,lkn sio kihivyo.Mungu anasaidia kupitia watu
asante mkuu
Wewe atakuacha kwa kuwa ni maskini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kweli ulichosema lakini kwa jibu lako ni zito kuliko sehemu ambapo umequote na ulitakiwa uwekee uzito tu pale ambapo angekuwa kanipa sifa ya Uungu mkuu lakini kaomba msaada kama vile wewe unavyoweza ku run kwa daktari na kumwambia una tatizo la Erectile dysfunction ina maana kuna shida ambazo Mungu anasaidia mtu kupitia mtu kuna watu zaidi ya Milioni kwenye hii Forums lakini ni wachache sana wamejaliwa kuona hii thread na hususani inaowahusu.Muombe MUNGU akusaidie,huyo ni binadamu mwenzako tu,hana msaada wowote juu ya hatma ya maisha yako,hata yeye ana matatizo yake yanayomsumbua na hana Majibu km Mimi na wewe tu tunavyosumbuka.
Wewe ni binadamu tu Mzee,huna uwezo wa kujua maisha yangu au ya Mwanadamu mwingine yeyote, Mungu tu ndiye mjuzi wa mambo yote hata yaliyofichika.Rakims usikubali hata siku moja kufananishwa na MUNGU,mtu akikutaka msaada au kukushukuru kana kwamba wewe ndio mjuzi wa mambo yote Kataa kwa nguvu zako zote mwambie hivi,"Mimi ni kiumbe mdogo tu, muombe MUNGU mweza wa yote na km ni kushukuru mwambie amshukuru MUNGU".Ni kweli ulichosema lakini kwa jibu lako ni zito kuliko sehemu ambapo umequote na ulitakiwa uwekee uzito tu pale ambapo angekuwa kanipa sifa ya Uungu mkuu lakini kaomba msaada kama vile wewe unavyoweza ku run kwa daktari na kumwambia una tatizo la Erectile dysfunction ina maana kuna shida ambazo Mungu anasaidia mtu kupitia mtu kuna watu zaidi ya Milioni kwenye hii Forums lakini ni wachache sana wamejaliwa kuona hii thread na hususani inaowahusu.
Sasa jiangalie kile unacho quote yawezekana nia yako ikawa ni nzuri lakini nguvu yako elekezi kwenye kujibu hoja ya mtu ikawa umekosea ni bora ungesema atakusaidia kwa pale alipojaliwa na Mwenyezi Mungu ningekuona kidogo una lengo nae zuri pia kama umepitia kuona watu wote wanaopata majibu hata wanaambiwa mtizamo unaonyesha/Unaelekea hii sio Ghaib (which is sin) hii ni aspect kama vile ambavyo wewe unafanya japo na kuangalia the consequences.
Asilimia kubwa ya watu kama wewe ni watu ambao wamekufa wameoza katika mahusiano ambayo hayawezekaniki na hata akiambiwa haelewi anakuwa anaupofu wa mapenzi (This is also aspect) yawezekana hata umri wa kuanza kufikiria ndoa bado. Kama ni mtu mzima mwenye akili timamu kwa muda niliopoteza kukujibu hili utakuwa umepata kutambua jambo.
Lakini kama ni mpuuzi kama wapuuzi wengine hapa nitakuwa nimekuwasha moto wa kuzidi kuquote Pumba.
Rakims
Mkuu Rakims naomba msaada hapa,[emoji3516]Me herufi I 30/9
Ke herufi H 07/3
Hujaniona kwenye maisha ya kawaida tofauti na humu na ungeweza kukutana na watu ambao huwa nazungumza nao na kuwasaidia kwa kile nilichojaliwa sehemu niliyoweka mark nyekundu katika vile ambavyo hujitoa kwenye (kufuru na shirki) nikiwa nazungumza na mtu basi hicho ulichosema ni asilimia 5.0% na asilimia zilizobaki humuelewesha na kumfundisha vingi kwa hekima hivyo usinihukumu kwa kuwa hunifahamu na wala sina haja ya kujitetea kwako kwa maana wengi wenu hujivisha kivuli cha imani hali ya kuwa imani yenyewe hamna.Wewe ni binadamu tu Mzee,huna uwezo wa kujua maisha yangu au ya Mwanadamu mwingine yeyote, Mungu tu ndiye mjuzi wa mambo yote hata yaliyofichika.Rakims usikubali hata siku moja kufananishwa na MUNGU,mtu akikutaka msaada au kukushukuru kana kwamba wewe ndio mjuzi wa mambo yote Kataa kwa nguvu zako zote mwambie hivi,"Mimi ni kiumbe mdogo tu, muombe MUNGU mweza wa yote na km ni kushukuru mwambie amshukuru MUNGU".