Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Mimi ME kuzaliwa 16/06 herufi ya mwanzo K

Yeye KE Kuzaliwa 25/08 herufi ya mwanzo K

Tupo kwenye Mahusiano.
Wewe ni mwenye asili ya upepo wa kawaida yaani pumzi na yeye ana asili ya udongo wa mwekundu nyie wawili mnaendana kwa asilimia 40% tu na hiyo ni kwa sababu nyote wawili mmechangia sayari moja katika hali zenu ambapo inapelekea kuwa vizuri katika;
1: Mawasiliano na Utambuzi wa akili = 80%
2: Hisia = 55%
3:Kusaidiana na kuthaminiana =40%
Lakini kwenye uaminifu na tendo la ndoa ni 2% kitu ambacho kinabeba mahusiano na ndoa huwa ni uamiifu na tendo la ndoa ambacho kwenu kimebeba asilimia 60% hiyo ni kwa sababu kila mmoja kati yenu anasifa ya kutawaliwa na akili mbele hisia nyuma sasa.

Hapo ndio mwisho wenu hutokea zinapoanza kufanya kazi akili zaidi kuliko hisia.
Na hata mahusiano yenu yanavyoanza utaona kila mmoja anakuwa na doubt kuhusu mwenzie
Yeye ni mtu anaekuchukulia wewe kama ni mtu ambaye akili yako haijakomaa yaani anakuona mdogo kiakili haijalishi kama kawahi kukwambia au la hilo ndio linaloendelea mara kwa mara katika akili yake.
Tukirejea kwako utamchukulia au unamchukulia kama mtu ambaye mfano wake ni fimbo iliyochomekwa kwenye tope yaani habadiriki kimawazo wala maamuzi yaani kiswahili rahisi unaweza kuanza kumuona kama kisiki.
Njisi yeye anavyotumia akili yake katika kukuchambua na kukutakia mambo wewe utakuwa unaona kama ni mtu ambaye hakujali.

Yeye ni mtu utamuona mwenye kutaka sana kutizamia mifano ya maisha ya watu na mitizamo yake huwa tofauti na wewe.
Nae anapokutizamia wewe anaona ni mtu mwenye maisha ya juu juu na mwenye kupenda kupoteza muda katika mambo ya kijamii kama mitandao ya kijamii.

Na pia yeye ndio hujiona muhimu zaidi inapokuja kwenye mtizamo wa wewe na yeye wakati wewe unakuwa ni mtu usiye na busara inapokuja kwenye swala hilo.
Shauku yenu kwa kila mmoja itakuwa ni ya chini na maisha yenu ya kingono(tendo la ndoa huanza kupooza mapema tu.
Na wewe utaanza kuangalia nje.
Kama kawaida yako kiroho wanakuita sura mbili.

SEHEMU ZA HISIA:
Ukitaka kuwa nae hivyo hivyo basi fahamu sehemu zake za hisia ni tumbo mtekenye tekenye tumboni na kumpa parapanda hapo hata kama umemkosea ama umemnunisha utamuona anaanza kucheka na kufurahi na hupenda sana kushikwa kwa vidole tumboni wakati wa tendo.
Na kupitishiwa ndimi sehemu ya mstari wa tumbo uzazi pia mkono wako kushika tumbo lake kwa ulaini wakati wa tendo ni kitu kinachomfanya akuone kama mfalme.
Fanya hayo kumfurahisha lakini hutampenda nje ya hapo ndivyo kama nilivyokueleza

Rakims
 
Mimi mwanaum tar 25 June jina linaanza na I na mwanamke 26 April jina ni H.....mahusiano ndoa
 
Father naomba unisaidie maana nafikiria kumuoa hivi karibuni
Mimi mwanaume nimezaliwa tar 26/12 herufi S
Mke mtarajiwa kazaliwa tar 2/10 herufi N
Tupo kwene mahusiano serious ya kupelekea ndoa
Natanguliza shukrani 🙏🙏
Kwa jinsi ulivyoomba mkuu nilitamani majibu yawe tofauti lakini kwa uwezo ambao niliojaliwa kwa kifupi naweza tu kukujibu kwamba hapo umekosea uelekeo,
Wewe ni mchanga wa bahari na yeye ni upepo wa juu licha ya kutokuendana hata kukaribiana hakaribiani na hili utajionea maana ya ile kauli kwamba unaweza kukaa kwenye uhawara miaka 10 lakini mwaka mmoja wa ndoa ukakushinda.
Wewe ni mtu mwenye kuvutiwa na yeye kwa sababu anamvuto ambao wewe unajikuta ni mtu wa kumbembeleza na na kubembelezea mapenzi upendo mlionao unaweza kukuokoa kwa kipindi fulani lakini hizi ndio ndoa ambazo wenza huwa wanarushiana ngumi maana ni uvumilivu hadi una give up japo mtafanikiwa kupata watoto kirahisi na mtazaa watoto wazuri kwa kuwa tu mnaingia mlango wa 5 kwenye ndoa yaani kizazi na mali lakini mateso ni makubwa kuliko mapenzi.

Yeye ni mtu mwenye tamaa na wewe kwenye mahusiano kwa muda huu. Elewa ya kwamba mahitaji yake katika mapenzi kuna jinsi na hali atakazo kuwa anataka uwe na wewe hutakuwa na uwezo wa kumpatia kikubwa wapo ni hisia haijarishi utafanya nini kwake hataona ukweli wa hisia zako kumpenda na ataona ni maneno pia kutoshelezana kwenu ni kwa uchache sana yeye anapenda sana mauno na wewe magoti kidogo itafikia sehemu itakuwa ni mtihani kipindi hiki kwanza utakua huelewi elewi utakuwa unaona kama ni mtu asiyesomeka baadae mwezi wa 9 hadi wa 10 kama hujamuoa anaweza kukwambia anaona uelekeo wa maisha hauoni na kuna uweze kano mkubwa mwezi huo wa mwaka huu akaanza kujihusisha na mtu mwingine na pia utapata habari kupitia mawasiliano yake kwa hivi sasa.
Atapenda mambo ambayo hutaweza kumtimizia kwa wakati anaoutaka sio kwamba huna uwezo wa kutimiza na akiwa tofauti na mtu mwingine utaona hiyo tabia hana atakuwa nayo kwako.
Na katika hali za kujionyesha na kuwaonyesha watu kuwa anajambo fulani ni tabia ambayo wewe huna kitu ambacho yeye hupenda mtu aliyenae awe hivyo
Na utakuwa ukimuheshimu kwenye mahusiano na yeye atakuwa anakuchukulia kama ni mpuuzi,atakuona mbinafsi na unakosea na mapenzi hayapohivyo na utatolewa kasoro

Baada ya hapo kwenye mahusiano hukugeuka na kuanza
kuangalia mahali pengine. Na kukuweka uwe na wivu nae kwake ni starehe japo ni jambo litakalo kuwa linakutesa.
Japo kuwa ni mtu mzuri kwa watu wengine kwako wewe mahusiano haya ni Kichocheo cha maafa (Sijataka kwenda deep sana kwenye case ya wazazi ambayo ndio inanifanya nikwambie ni mtu asiyekufaa.

SEHEMU YA HISIA:
Kiuno chake ndio sehemu inapotawala hisia yake utaona analalama kiuno kinasumbua ili tu kupata kupapaswa na kukandwa eneo hilo.

Rakims
 
Mkuu Rakims wewe umejaaliwa sana naomba sana msaidie na rafiku yangu yeye mahusiano yake details zao ni

Jinsia Me: kuzaliwa ni tarehe 27/08JIna E

Jinsia Ke: Kuzaliwa ni tarehe 20/11, Jina A

Tunawapenzi wamezaliwa tarehe ziinafanana na Herufi za majina tupo pacha kwa kila jinsia zetu


Sina swali wewe hubahatishi
Yeye ni mwanaume au mwanamke. Jitahidini kutoa details zilizo nyooka
 
Nimetafuta uliponijibu sijaona mkuu tafadhali
Andika upya ujumbe na jitahidi ujitosheleze details mkuu instead ya mimi kuanza kupekua ujumbe upo wapi post ya ngapi ni bora mngekuwa mnazingatia maelekezo
 
Mimi mwanaum tar 25 June jina linaanza na I na mwanamke 26 April jina ni H.....mahusiano ndoa

Mahusiano yenu ni sawa na huyu niliwahi kumjibu hapa. Hujakosea

Kama ulikuwa unatafuta mahusiano au ndoa basi kwa huyu unakuwa umepata kwa maana mnaendana kwa asilimia 95 na pia mnaendana kwa nafasi kubwa sana kama mnamahusiano tu kama ulivyosema basi muombe akuoe hata kesho kwa maana hapo hujakosea na upo sahihi sana pia wewe maji ya bahari na yeye ni mchanga hivyo kila mtu hufurahi na hupenda kuona bahari jinsi ilivyo mnaendana sana huyu anakubeba kwa asilimia kubwa na wewe unamtakasa kwa asilimia kubwa na watu wakiwatizama pamoja mnakuwa hamchoshi

kwa mtizamo mnaonekana nyote wawili mnahitaji ulinzi na mahusiano ya moja kwa moja na nyote mnapendana na mmeridhiana na wenye shauku.
ukimtizama yeye mara nyingi akikuona tu mihemko yake ya sex huamka na yeye ni mtu mwenye mapenzi kama ya kujidekeza kwa mahaba kwako.
Nyote ni watafutaji na wenye nafsi za kutafuta pesa na mafanikio yenu na pamoja mnaonekana ni wenye kupenda mazingira ya nyumbani na afya zenu na kujaliana.
Pia katika ndoa mnaonekana kuingia mlango wa 6 mlango wa huduma na afya ni mfano wa wale waliofunga ndoa ya kikristo kwamba hadi kifo kitakapo tutenganisha hivyo kwa kuhudumiana mpo vizuri na kwa kusaidiana vile vile mpo vizuri kila mmoja katika kumlindia mwenzie heshima yake.
Yeye ni mtu mwenye kupenda kuhudumiwa na kuonyeshwa upendo na wewe.

Yote kila muda huonana wapya au kama mnaanza upya na yoyote kati yenu akitaka jambo basi mwingine anakuwa ana supplier.

SEHEMU ZA HISIA:
Sehemu yake ya hisia ni shingoni nimeshaelezea ufanye nini kama mwenza wako anahisia sehemu hii.

Rakims
 
Hujaniona kwenye maisha ya kawaida tofauti na humu na ungeweza kukutana na watu ambao huwa nazungumza nao na kuwasaidia kwa kile nilichojaliwa sehemu niliyoweka mark nyekundu katika vile ambavyo hujitoa kwenye (kufuru na shirki) nikiwa nazungumza na mtu basi hicho ulichosema ni asilimia 5.0% na asilimia zilizobaki humuelewesha na kumfundisha vingi kwa hekima hivyo usinihukumu kwa kuwa hunifahamu na wala sina haja ya kujitetea kwako kwa maana wengi wenu hujivisha kivuli cha imani hali ya kuwa imani yenyewe hamna.

Mfano wewe unaniona mimi kumuelekeza mtu kutokukosea mahala pa kuoa kwa mtizamo wa kwamba hapo anapokwenda atatokea na yeye mwenyewe akakubali tabia zake na alizomuona huyo mwanamke. Nafanya makosa na najivisha vazi la Mungu kwa uelewa wako finyu sana lakini kusaport ngono/zinaa unaona ni sawa na nikitendo cha kutangaza kwamba umewahi kuzini au unazini rejea ya uzi wako


Na kama haitoshi ukasema kabisa kwamba umewahi kuzini na wanawake tofauti tofauti warefu, wafupi,wenye lipsi nyembamba n.k rejea uzi wako


Pia


Still bado unaona ninachofundisha ni upotoshaji na najivika vazi la uungu ila wewe unasahau amri kumi za Mungu na Aya inayokataa msizini wala mafundisho yanayokataza zinaa whom ever the imbic*le you are katika imani kama haitoshi unaona sifa kwa kutangaza na kuomba ushauri jinsi ya kutengeneza Ulevi ni unashangaa wanaokushauri uache utamu wa Ulevi.
Rejea katika uzi wako


Na kama haitoshi huyo Mungu unaetuletea unafiki wa kujifanya unamjua sana ukaenda kumkosoa kwa kutangaza viumbe wenzako aliyowaumba kwa kuwaita wana sura ngumu ya kwako laini ipo wapi uliiweka tukaona?
Rejea katika uzi wako.


Ndio maana nilikwambia kwa the next quote utakayotoa nitajua kabisa ni mjinga au mpuuzi kiasi gani na wala hukulifikiria hilo mara mbili watu wanaweza kuniona mbaya kukuita mpumbavu lakini wakipitia rejea zako watajua ni kwa nini.
Na vile ulivyokuwa low thinker na hutaki kuelewa hata mtu akijaribu kukuelewesha upeo wako mdogo na akili yako ya kitoto tunaiona pale ulipoanzisha thread yako ya KULAMBA MAKAMASI


Sikulaumu kufanya utoto huo kwa maana ya umri uliokuwa nao lakini nakushangaa kwa akili unazojiona upo nazo mwenyewe umebarikiwa unamjua Mungu still bado unapost akili zako za makamasi halafu unataka kupinga hoja ambayo hujui mwanzo wake wala mwisho hata maana yake.

Kuna member aliwahi kuzungumza humu watu wanaotoka jamii Intelligence jitahidini kuongea nao kwa hekima watawajibu kwa hekima kwa maana lile jukwaa lina watu wake sidhani hata kama uliona thread inayosema hivyo still bado unaquote pumba mara ya pili.
Haya rudia tena mara ya tatu ndio tujue kweli wewe Akili kamasi.

Rakims
Hongera Sana Mzee Rakims, umejitahidi kufuatilia nyuzi zangu lkn bahati mbaya sana hujazifuatilia zote,hebu ongeza bidii uzisome zote,zipo nyingine nyingi mbaya kuliko hizo.
 
Ewe mkuu sana hizi hapa details

Me 16/04 F
Ke 29/10 S
 
Mkuu Rakims msaada apa

Mimi Mwanaume—Tarehe 13/12–Herufi G

Mwanamke — Tarehe 10/9 —Herufi S
 
Yeye ni mwanaume au mwanamke. Jitahidini kutoa details zilizo nyooka

Mkuu Rakims wewe umejaaliwa sana naomba sana msaidie na rafiku yangu yeye mahusiano yake details zao ni

Jinsia MWANAUME: Kuzaliwa ni tarehe 27/08JIna E

Jinsia MWANAMKE: Kuzaliwa ni tarehe 20/11, Jina A
 
Me 11/5 herufi H
Ke 28/6 herufi M
Mkuu naomba unisaidie hapa
 
Hongera Sana Mzee Rakims, umejitahidi kufuatilia nyuzi zangu lkn bahati mbaya sana hujazifuatilia zote,hebu ongeza bidii uzisome zote,zipo nyingine nyingi mbaya kuliko hizo.
Basi Khalas hii ni mara ya tatu sasa.
Jibu la mjinga ni kumkalia kimya kwa wenye akili.
Lakini kwa sisi wenye busara hujibu kwa kukutoa ujinga ili uweze kupata busara ya maongezi.
Elewa:
"Lengo la kupitia thread zako ni kupata idea nazungumza na mtu wa IQ ipi, Ili nikikujibu uweze kutuliza mori wa ujinga kama ni mjinga kisha nikueleweshe jambo.
Sasa kwa kuwa umetulia na hapa unataka ujifanye wewe ndio mstaarabu elewa ustaarabu wenyewe huna kwa maana hapa unahisi nina kuadhiri lakini sio nia yangu na ingekuwa hiyo ningekuonyesha utumbo wa quote zako hapa nilikuwa nakufundisha jambo ambalo umegoma kulielewa takuelewesha;
DUNIANI HAKUNA ALIYE MSAFI, HAIJALISHI UTAVAA NGOZI YA MNYAMA GANI AU MIMEA STILL BADO UTAKUWA BINADAMU TU.
Leo wewe utaniona mimi Kafiri kufurah neema kesho wewe utakuwa kafiri kufurah shirki"
Hivyo ukiiona kasoro kwangu niombee na pia nitafute kistaarabu nitakutoa tongo tongo sio kupotosha kwa kunikandamiza na ukiniadhiri nitakuadhiri tu.
Grow up.

Rakims
 
Mimi Me tarehe ya kuzaliwa 12/7 herufi - V

Ke tarehe ya kuzaliwa 3/6 herufi - F

Mahusiano ya kupelekea ndoa.
 
Mimi me nimezaliwa trh 25/10 herufi K
Mwenzangu ke amezaliwa 14/10 herufi S
Nasubiri mrejesho kaka Rakims.
 
Back
Top Bottom