Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Nitarejea.....................!!
 
Me 11/11/ C (nilijitungia mamangu hakumbuki nilizaliwa.umri wake tatizo.
ke 03/08/F
 
JF imekuwa km fb sas, mada km hzo na watu wanajbu km walivyoambiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
JF imekuwa km fb sas, mada km hzo na watu wanajbu km walivyoambiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Au wewe ndio wa facebook umekuja huku?
Maana mwaka jana tu umeomba kukaribishwa leo umekuwa legend???

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…