Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika mahusiano haya wewe ni maji ya bahari yaani kaa hivyo unahitajika kuzoea hali ya yeye moto wa mkaa katika mitoko kutoka toka, uchangamfu. kitofauti,vinginevyo, ukarimu wake, uridhie moyo wake wa kujitolea katika kusaidia,Hebu nielezee upande wangu ukoje,
ME 1/7
KE 31/7


Tarehe ya kuzaliwaNo jokes
Kwenu mapenzi huanza pale mnapoonana tu mara ya kwanza.
Nashukuru sana, hivi nyota ya mapacha na simba huwa zinaendana kweli kwenye mahusiano?Katika mahusiano haya wewe ni maji ya bahari yaani kaa hivyo unahitajika kuzoea hali ya yeye moto wa mkaa katika mitoko kutoka toka, uchangamfu. kitofauti,vinginevyo, ukarimu wake, uridhie moyo wake wa kujitolea katika kusaidia,
Simba mwenye nguvu ni yeye na ndicho kitakacho kufanya wewe ujihisi kukosa usalama wa mapenzi na kwenye mahusiano haya ndicho unachokitafuta.
wewe unaonekana ni mwenye uelewa wa ajabu na kuelewa kwako mambo bila kukurupua na uwezo wako mkubwa wa kulea na kutuliza moto ndicho kinachoweza kumshughulikia yeye ambaye ni mwenye kiburi na mkali
Pongezi na kumsifu hata kama kafanya kitu cha kijinga ndio vitu vinavyomvutia zaidi kwako na mengi ya kubembeleza ndiyo yanahitajika kuweka kumuweka chini kama maji ya mtungi yeye ambaye ana sifa za kuunguruma na pale anapounguruma ( yaani sifa na kujidai) basi ni sehemu ambazo anaridhika zaidi ukimfanyia hayo wewe na yeye ni mfano wa karata ya strength katika tarot ukiwa unasoma utaona kuna karata inaitwa strength imagine wewe ni huyu mwanamke anaemshika simba mdomo na kumuinamisha ndivyo utakavyo mfanya asisikie la mtu kuhusu wewe.
Yeye anatawala sana inapokuja kwenye swala la tendo mnapokuwa chumbani na hupenda kukaa wazi chumbani; Lakini tabia yake ya kuwa moto kila muda ni dawa nzuri sana kwako na unajihisi kitulizo kikubwa kwake.
Mahusiano baina yenu ni mazuri sana na yakupendeza isipokuwa element zinazowasimamia haziendani yeye ni mfalme na wewe ni malkia maana yeye anatawaliwa na jua na wewe unatawaliwa na mwezi ukianza kuonyesha dalili za ukali unampoteza vile vile mapenzi kwenye ni moto moto isipokuwa maelewano kwenu yaani msaada kinyota kila mtu anatakiwa ashike lake vingenevyo mafanikio yapo mbali relationship hizi nyingi usaliti wake huwa ni maafa na mwisho wenu kila mmoja ana mapenzi makubwa sana na mwenzie ni sawa na mahusiano baina ya mtu mweusi na mtu mweupe akipenda kapenda na akiacha kaacha hamna faida kinyota isipokuwa kwa mapenzi na tulizo la roho basi endelea kujiweka hapo mkuu.
Rakims
Shukran mkuuNyote wawili mna mengi mnayoendana.
Wote ni wenye kupenda maisha ya nyumbani, wapenda hisia, na hasa kwenye kufanya mapenzi.
Wewe ni mwenye kupenda kwenda pole pole na na vile vile kupenda vitu asilia ambapo ni mvuto mkubwa kwake katika ugonjwa wake wa kuwa na mood zenye kubadirika badirika, ingawa muda mwingine kupenda kwake kuongea kwa uwazi kunakutaka wewe kuwa makini sana kutokumharibu hisia zake kwa maana ni mtu yupo kihisia zaidi na ukimuingia ndani zaidi utaona ni mtu wa kupenda kulia, yeye anataka mtu ambaye ni mwenye nguvu mwenye nyota yako kwa ajili ya kumtegemea kwa kila jambo, baadae utaona ukimtimizia atakupa uaminifu mkubwa wa mapenzi na kukwambia kila siri yake hata wanaomtaka atakuorodheshea, wewe ni mwenye kubana uchumi na kutunza vema na yeye pia ni mtu mwenye kupenda kujibana na kutunza akiba hivyo nyote wawili mna lengo moja au malengo sawa.
Masilahi yenu pamoja na matamanio yenu sawa basi huleta uhusiano mzuri wenye baraka, ukimuoa huyu hujapoteza.
Rakims
🤣 ili kuhadaa watu umeweka neno ushoga na kutusi wansake.Sawa mkuu nimekuelewa. mimi unaona naharibu ndio maana upo wewe unaetengeza maisha ya watu, vile vile hizi thread kama hazikufai rejea kwenye zile unazopenda kuchangia za ushoga pamoja na huyu mwenzio kule ambapo kutukana mama zenu ni bora zaidi kuliko kufuata nyota ambazo zimeumbwa ili kuwa muongozo wa kuwatoa watu kwenye kiza cha bara na baharini.
Rakims
November 30th MeRekebisha maelezo
Achaneni mara moja kwan mkeo kisirisiri ni CCMMimi wa kiume
Herufu E na 19/06.
Mke wangu ni
Herufu L na 23/05
Imee kaaje
Jinsia? atug ni male au female?